Usiyoyajua kuhusu kabila la wabena

Usiyoyajua kuhusu kabila la wabena

Umenkumbusha vingi vya nyumbani lkn hujausemea ugimbi & ulanzi na mbeta zake

Msitu wa nyumbanitu wenye kuku weupe ambao walokole waliwahigi kuuvamia na kuathiri baadhi ya vitu vilivyokuwemo lkn mwishowe kila walienda kudhurika na kila mmoja alikuja kuomba radhi kwa wakati wake

Isimbilisi ni mbeva ni miongoni mwa vyakula vyao vya asili, yeyote alowah ishi ayo maeneo atakua shahidi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom