Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

karue

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
203
Reaction score
435
Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni

Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime

Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya makabila hawataki kuonewa, kunyanyaswa au kudhulumiwa kitu chake hapo mtamalizana papo kwa papo kwa mbinu yeyote anaeijua yeye.

Ukioa mwanamke wa kijita au kikurya umepata mwanamke wa familia ni wavumilivu mno, Tena mno.

Makabila haya watu wake hawajui kuongea kwa kubembelezana wao kuongea kwao ni Kama amri ya Jeshi
Ukiwa mgeni katika mkoa wa Mara utajua namaanisha Nini.

Wanapenba kula ugali wa mtama uliochanganywa kwa unga wa muhogo (udaga) pamoja na samaki na nyama

Haya ndiyo niliyaona miaka 5 niliyoishi mkoa wa Mara
 
Unayajua makabila mawili tu eti!!
 
Kutoka 'Mkoa' wa 'Kimashujaa' wa Mara.
 
wajita na wakurya wanatoka seheme moja lakini kuna utifauti mkubwa ya kitabia kati ya hao wawili

wakulia ni watu wa mabavu wana loss temper kirahisi, hasira zao ni mapigano, lakini wajita sio watu wa mabavu ingawa nao wana loss temper kirahisi lakini atumii nguvu labda atakuwekea kisasi

wajita ni wavivu wanafanya kazi mpaka awe na mood mjita analima kasehem kadogo alafu anajisifia mbaya 'asee leo nimelima bwana'.. lakin wakurya wanapiga kazi wanajituma sana na wanataka kuona matoke ya kazi

wajita wana nature ya upole upole, sio wakorofi mpaka uwatibue na ukiwatibua ata deal na kiakili so kinguvu ingawa anaweza akatua nguvu pia, wakurya kwenye upole hawapo kabisaaa.. wakitaka kitu lazima nguvu itumie yani 'nguvu fuso akili kisoda'

wajita wanapenda kuvaa asee, yani mjita anaweza kwenda kulima anapaka mafuta mkanda nje na pen kwenye mfuko wa shati, wakurya hawana hizo tabiaa za kuvaa na awawezi kupanga mavazi

hii najua jf naweza msihamini
wajita kwenye upande wa mapenzi wapo romantic sana wanajua kuplease na wana penda sex, wapo emotional sana awajamaa.. tofauti na wakurya mapenzi wanayachanganya na vita... yani vita ni vita muraaah

kwenye chakula wote wanakula chakula cha kufanana

mwisho kabisa, hayo makabila mawili watu wanayafananisha sana kwasaababu wote wanatoka sehemu moja lakini deep inside.. hawafanani hata kidogoo hususani kwenye tabia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee..
Wajita wanatahiriwa wanaume pekee.
Wakurya tohara ni kwa wote, ME na KE
 
Wewe sasa ndio umeelezea vizuri hizo namba mbili, japo mambo ya ukabila siku hizi sio ishu kabisa kuzijadili sababu ya muingiliano.
 
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
 

Wajaluo jee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…