Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

wajita na wakurya wanatoka seheme moja lakini kuna utifauti mkubwa ya kitabia kati ya hao wawili

wakulia ni watu wa mabavu wana loss temper kirahisi, hasira zao ni mapigano, lakini wajita sio watu wa mabavu ingawa nao wana loss temper kirahisi lakini atumii nguvu labda atakuwekea kisasi

wajita ni wavivu wanafanya kazi mpaka awe na mood mjita analima kasehem kadogo alafu anajisifia mbaya 'asee leo nimelima bwana'.. lakin wakurya wanapiga kazi wanajituma sana na wanataka kuona matoke ya kazi
wajita wana nature ya upole upole, sio wakorofi mpaka uwatibue na ukiwatibua ata deal na kiakili so kinguvu ingawa anaweza akatua nguvu pia, wakurya kwenye upole hawapo kabisaaa.. wakitaka kitu lazima nguvu itumie yani 'nguvu fuso akili kisoda'

wajita wanapenda kuvaa asee, yani mjita anaweza kwenda kulima anapaka mafuta mkanda nje na pen kwenye mfuko wa shati, wakurya hawana hizo tabiaa za kuvaa na awawezi kupanga mavazi

hii najua jf naweza msihamini
wajita kwenye upande wa mapenzi wapo romantic sana wanajua kuplease na wana penda sex, wapo emotional sana awajamaa.. tofauti na wakurya mapenzi wanayachanganya vita... yani vita ni vita muraaah

kwenye chakula wnakula chakula cha kufanana

mwisho kabisa, hayo makabila mawili watu wanayafananisha sana kwasaababu wote wanatoka sehemu moja lakini deep inside.. hawafanani hata kidogoo hususani kwenye tabia
Vita ni vita muraaaaa....😄😅
 
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
Hizi stori umesikia wapi aisee ?

Kwanza kinachosababisha Wakurya wapende mapigano ni kwasababu hawajui kabisa uchawi.

Ukikuta mkurya ni mchawi labda kaununua
 
Nawasalimu kwa jina baba mwenyezi alie mbinguni

Wakurya na wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, wajita wakipatikazana zaidi Bunda na majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime

Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya makabila hawataki kuonewa, kunyanyaswa au kudhurumiwa kitu chake hapo mtamalizana papo kwa papo kwa mbinu yeyote anaeijua yeye.

Ukioa mwanamke wa kijita au kikurya umepata mwanamke wa familia ni wavumilivu mno, Tena mno.

Makabila haya watu wake hawajui kuongea kwa kubembelezana wao kuongea kwao ni Kama amri ya Jeshi
Ukiwa mgeni katika mkoa wa Mara utajua namaanisha Nini.

Wanapenba kula ugali wa mtama uliochanganywa kwa unga wa muhogo (udaga) pamoja na samaki na nyama

Haya ndiyo niliyaona miaka 5 niliyoishi mkoa wa Mara
Wakurya na Wajita ni makabila mawili yenye hulka tofauti kabisa.

Makabila haya wala hata hayaingiliani kimakazi au kikazi.

Kwa kifupi Wakurya na Wajita hawana mahusiano yanayopelekea mwingiliano baina yao.

Kitu pekee cha kufananisha labda ni kuwa makabila haya yote yanapatikana mkoa wa Mara.

KWA HIYO KUJARIBU KULINGANISHA MAKABILA HAYA SIO SAHIHI.
 
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
Wakurya hawana sifa ya uchawi kwa kiwango ulichokieleza.

Labda kama ulikuwa unamaanisha wajaluo.
 
Mkuu we umenaliza yote.
Hayobmakabila wakurya wako powa sana kuishi nao ila wajita ni changamoto sana kuishi nao.

Wajita umbea, majungu, ulozi na ngono kupitiliza.
wajita na wakurya wanatoka seheme moja lakini kuna utifauti mkubwa ya kitabia kati ya hao wawili

wakulia ni watu wa mabavu wana loss temper kirahisi, hasira zao ni mapigano, lakini wajita sio watu wa mabavu ingawa nao wana loss temper kirahisi lakini atumii nguvu labda atakuwekea kisasi

wajita ni wavivu wanafanya kazi mpaka awe na mood mjita analima kasehem kadogo alafu anajisifia mbaya 'asee leo nimelima bwana'.. lakin wakurya wanapiga kazi wanajituma sana na wanataka kuona matoke ya kazi

wajita wana nature ya upole upole, sio wakorofi mpaka uwatibue na ukiwatibua ata deal na kiakili so kinguvu ingawa anaweza akatua nguvu pia, wakurya kwenye upole hawapo kabisaaa.. wakitaka kitu lazima nguvu itumie yani 'nguvu fuso akili kisoda'

wajita wanapenda kuvaa asee, yani mjita anaweza kwenda kulima anapaka mafuta mkanda nje na pen kwenye mfuko wa shati, wakurya hawana hizo tabiaa za kuvaa na awawezi kupanga mavazi

hii najua jf naweza msihamini
wajita kwenye upande wa mapenzi wapo romantic sana wanajua kuplease na wana penda sex, wapo emotional sana awajamaa.. tofauti na wakurya mapenzi wanayachanganya na vita... yani vita ni vita muraaah

kwenye chakula wote wanakula chakula cha kufanana

mwisho kabisa, hayo makabila mawili watu wanayafananisha sana kwasaababu wote wanatoka sehemu moja lakini deep inside.. hawafanani hata kidogoo hususani kwenye tabia
 
wajita na wakurya wanatoka seheme moja lakini kuna utifauti mkubwa ya kitabia kati ya hao wawili

wakulia ni watu wa mabavu wana loss temper kirahisi, hasira zao ni mapigano, lakini wajita sio watu wa mabavu ingawa nao wana loss temper kirahisi lakini atumii nguvu labda atakuwekea kisasi

wajita ni wavivu wanafanya kazi mpaka awe na mood mjita analima kasehem kadogo alafu anajisifia mbaya 'asee leo nimelima bwana'.. lakin wakurya wanapiga kazi wanajituma sana na wanataka kuona matoke ya kazi

wajita wana nature ya upole upole, sio wakorofi mpaka uwatibue na ukiwatibua ata deal na kiakili so kinguvu ingawa anaweza akatua nguvu pia, wakurya kwenye upole hawapo kabisaaa.. wakitaka kitu lazima nguvu itumie yani 'nguvu fuso akili kisoda'

wajita wanapenda kuvaa asee, yani mjita anaweza kwenda kulima anapaka mafuta mkanda nje na pen kwenye mfuko wa shati, wakurya hawana hizo tabiaa za kuvaa na awawezi kupanga mavazi

hii najua jf naweza msihamini
wajita kwenye upande wa mapenzi wapo romantic sana wanajua kuplease na wana penda sex, wapo emotional sana awajamaa.. tofauti na wakurya mapenzi wanayachanganya na vita... yani vita ni vita muraaah

kwenye chakula wote wanakula chakula cha kufanana

mwisho kabisa, hayo makabila mawili watu wanayafananisha sana kwasaababu wote wanatoka sehemu moja lakini deep inside.. hawafanani hata kidogoo hususani kwenye tabia
Umeelezea vizuri. Maelezo yako yanadhihirisha kuwa unayajua vizuri haya makabila.

Nyongeza
Wajita walitangulia shule kabla ya kabila lolote mkoa wa Mara. Zamani ilikuwa Ukifika hospitali zote ma Nurse walikuwa ni wajita, bila kusahau walimu. Ilikuwa ukitaka kwenda kusoma nursing au ualimu utasikia unataniwa KWANI WEWE NI MJITA.

Wajita ni wakarimu sana na Si wachoyo hasa kwenye chakula. Changamoto yao kubwa ni WANASENGENYAJI sana na wana kisasi sana.

Asilimia kubwa ni wasabato.
 
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
Nafikiri unaongelea kabila tofauti na wakurya.
 
Tatizo wajita wao wapo vizuri kwenye shughuri za uvuvi sio kilimo
 
Wajita ni wakwe zangu hao [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20210608_230726.jpg

Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
 
Umeelezea vizuri. Maelezo yako yanadhihirisha kuwa unayajua vizuri haya makabila.

Nyongeza
Wajita walitangulia shule kabla ya kabila lolote mkoa wa Mara. Zamani ilikuwa Ukifika hospitali zote ma Nurse walikuwa ni wajita, bila kusahau walimu. Ilikuwa ukitaka kwenda kusoma nursing au ualimu utasikia unataniwa KWANI WEWE NI MJITA.

Wajita ni wakarimu sana na Si wachoyo hasa kwenye chakula. Changamoto yao kubwa ni WANASENGENYAJI sana na wana kisasi sana.

Asilimia kubwa ni wasabato.
Tena hawasubiri ukiwa mbali, yan wanakusengenya na ww ukiwa hapo hapo
 
Niwajuavyo WAJITA kwa sababu nimeishi nao muda mrefu...

SIFA CHANYA
1.Wajita si kabila kubwa sana, ila wengi wao ni wasomi kuliko Wakurya na makabila mengi ya Kanda ya Ziwa (ukiondoa Wahaya na Wakerewe). Hasa levels za certificates,diploma, bachelor & masters' degree. Kule kwenye PhD ni wachache mno (mfano Prof.Biswalo,yule mtaalamu wa Psychology).

Walio wengi wamejazana kwenye Ualimu,Afya,majeshi, na kazi nyingine za elimu ya kawaida.

2.Wanapenda maendeleo na hushindana sana kutafuta maendeleo.Na akiyapatia maisha hanaga kujificha,lazima mtajua tu kuwa Bwire mambo yake sasa ni safi ile mbaya.

3.Ni moja ya makabila nadhifu kandokando ya Ziwa Victoria. Wanapenda kuvaa sana.Kuna mdau huko juu ☝kasema si ajabu kumuona Mjita anaenda shambani kulima ila amechomekea,miwani juu,na pen kwenye mfuko wa shati.Just imagine!

4.Ni wakarimu sana,na wana huruma kwa matatizo ya wengine.Ukiwa na tatizo anakusaidia.Ukiona hajakusaidia ujue hana.

5.Moja ya makabila around the interlucustrine yaliyo vizuri kwenye mapenzi na mambo ya ndoa.

6.Wanaomboleza kwenye misiba yao haooo!Kama unataka kuanzisha kikundi cha kukodisha cha waliaji kwenye misiba,watafute hawa.Usipompata Mjita basi option ya 2 mtafute Mjaluo.

Yaani Mjita anatoka kwake kwenda msibani macho makavu na story za kufa mtu njiani,ila akifika within 1 kilometer to the msiba area kilio atakachoangusha hapo ni balaa! "Mayaweee,Manyama weswe kagendelee..Uuwiii, 😰😭😭". Wanaliaga huku wanabwabwaja maneno kama yote yaani.

7.Wanapenda misosi ya asili sana.Hata kama umepika pilau lako siku ya Christmas au Eid,lazima na ugali wa muhogo umpikie. Wali sijui na pilau bila 'ubhusima' (ugali)? Hiyo siku mbona imekaa vibaya!

8.Kiimani,70% ya Wajita ni Wasabato.Yaani ni vigumu kuutenganisha Usabato na Ujita, na nilipokuwa mdogo kila Msabato niliyemuona nilijua kwa vyovyote atakuwa Mjita pia (kumbe wapo na wa madhehebu mengine,japo ni wachache).Hii ni ishara kuwa hawa watu waliupokea vyema Ukristo na kupitia huo wakapata elimu dunia.

N.B:Utaamua kama hizo namba 6 & 7 ni sifa njema ama la.

SIFA ZAO HASI
1.Ni waongo waongo,wambeya, wachonganishi, na Wanapenda kufatilia maisha ya wengine:unakula nini,unavaa nini,n.k. Hawa wanajulikana kama 'Wazaramo wa Kanda ya Ziwa'. Lake Zone yote wanawagwaya wajita kwa mdomo.

Pamoja na kusoma kwao,kile kiingereza cha " Mind your own business " hawakukielewa hadi leo. And for your information, CYPRIAN MUSIBA is a Jita man.Anatoka Iramba,wilayani Bunda.

2.Pamoja na ukarimu walio nao,akikusaidia lazima akutangaze. Na pia akijua maisha unayoishi utakoma.Nadhani wanafaa sana kufanya kazi kwenye Media House.

3.Wanaoishi pembeni ya Ziwa Victoria huwa hawana mabafu,wao huenda kuoga ziwani tena uchi wakionekana na kila mtu.Margin unayotenga sehemu wanayoogea wanaume na wanawake ni ndogo sana.

Ukiwa mgeni Ujitani unaweza kudhani uko Miami beach au Bahamas 'mambele' huko.Yaani unamwona Irene aliyemtongoza akakukataa anaoga na kichupi in the open space tena mchana kweupe, na baadaye jirani kidogo unamwona,Nyamisi,dada yako wa tumbo moja anaoga chuchu zimesimama kama msumari na kisha anavua chupi yake anainama na kuinuka akiifua, huku akijua wewe kaka yake unamuona mubashara. Aiseee,maisha gani haya?...sisi makabila mengine tulikuwa tunafedheheka kwakweli.

4.Jamaa hawa ni wabishi sana.Tena bora ukutane na Msabato Mpare kuliko Msabato Mjita,mtabishana mambo ya maandiko mpaka uombe poo!Na ni wabishi hata kwa mambo mengine.

5.Wamekubuhu kwa ushirikina na kuuana kwa sumu za mamba. Ikiwa utaenda kufanya kazi au biashara maeneo yao,na ukakwazana na watu wa huko,hunabudi kuchukua tahadhali ya hali ya juu:usikariri kula kwenye hoteli moja au kunywa kwenye baa ile ile,limit the number of friends. Ukizembea 'wafa, wagenda'.

6.Mengine wataendeleza wengine,maana namba 3 imenivuruga kichwa.

Usisahau: Msemaji wa timu ya football ya Ruvu Shooting, MASAU BWIRE,naye ni Mjita.
 
Niwajuavyo WAJITA kwa sababu nimeishi nao muda mrefu...

SIFA CHANYA
1.Wajita si kabila kubwa sana, ila wengi wao ni wasomi kuliko Wakurya na makabila mengi ya Kanda ya Ziwa (ukiondoa Wahaya na Wakerewe). Hasa levels za certificates,diploma, bachelor & masters' degree. Kule kwenye PhD ni wachache mno (mfano Prof.Biswalo,yule mtaalamu wa Psychology).

Walio wengi wamejazana kwenye Ualimu,Afya,majeshi, na kazi nyingine za elimu ya kawaida.

2.Wanapenda maendeleo na hushindana sana kutafuta maendeleo.Na akiyapatia maisha hanaga kujificha,lazima mtajua tu kuwa Bwire mambo yake sasa ni safi ile mbaya.

3.Ni moja ya makabila nadhifu kandokando ya Ziwa Victoria. Wanapenda kuvaa sana.Kuna mdau huko juu [emoji121]kasema si ajabu kumuona Mjita anaenda shambani kulima ila amechomekea,miwani juu,na pen kwenye mfuko wa shati.Just imagine!

4.Ni wakarimu sana,na wana huruma kwa matatizo ya wengine.Ukiwa na tatizo anakusaidia.Ukiona hajakusaidia ujue hana.

5.Moja ya makabila around the interlucustrine yaliyo vizuri kwenye mapenzi na mambo ya ndoa.

6.Wanaomboleza kwenye misiba yao haooo!Kama unataka kuanzisha kikundi cha kukodisha cha waliaji kwenye misiba,watafute hawa.Usipompata Mjita basi option ya 2 mtafute Mjaluo.

Yaani Mjita anatoka kwake kwenda msibani macho makavu na story za kufa mtu njiani,ila akifika within 1 kilometer to the msiba area kilio atakachoangusha hapo ni balaa! "Mayaweee,Manyama weswe kagendelee..Uuwiii, [emoji27][emoji24][emoji24]". Wanaliaga huku wanabwabwaja maneno kama yote yaani.

7.Wanapenda misosi ya asili sana.Hata kama umepika pilau lako siku ya Christmas au Eid,lazima na ugali wa muhogo umpikie. Wali sijui na pilau bila 'ubhusima' (ugali)? Hiyo siku mbona imekaa vibaya!

N.B:Utaamua kama hizo namba 6 & 7 ni sifa njema ama la.

SIFA ZAO HASI
1.Ni waongo waongo,wambeya, wachonganishi, na Wanapenda kufatilia maisha ya wengine:unakula nini,unavaa nini,n.k. Hawa wanajulikana kama 'Wazaramo wa Kanda ya Ziwa'. Lake Zone yote wanawagwaya wajita kwa mdomo.

Pamoja na kusoma kwao,kile kiingereza cha " Mind your own business " hawakukielewa hadi leo. And for your information, Cyprian Musiba is a Jita man.Anatoka Iramba,wilayani Bunda.

2.Pamoja na ukarimu walio nao,akikusaidia lazima akutangaze. Na pia akijua maisha unayoishi utakoma.Nadhani wanafaa sana kufanya kazi kwenye Media House.

3.Wanaoishi pembeni ya Ziwa Victoria huwa hawana mabafu,wao huenda kuoga ziwani tena uchi wakionekana na kila mtu.Margin unayotenga sehemu wanayoogea wanaume na wanawake ni ndogo sana.

Ukiwa mgeni Ujitani unaweza kudhani uko Miami beach au Bahamas 'mambele' huko.Yaani unamwona Irene aliyemtongoza akakukataa anaoga na kichupi in the open space tena mchana kweupe, na baadaye jirani kidogo unamwona,Nyamisi,dada yako wa tumbo moja anaoga chuchu zimesimama kama msumari na kisha anavua chupi yake anainama na kuinuka akiifua, huku akijua wewe kaka yake unamuona mubashara. Aiseee,maisha gani haya?...sisi makabila mengine tulikuwa tunafedheheka kwakweli.

4.Mengine wataendeleza wengine,maana namba 3 imenivuruga kichwa.

Mkuu niandikie na wajaluo
 
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
Acha kuchafua makabila ya watu we mpuuzi, Kwa taarifa yako wakurya naweza kusema ndio yanaongoza kwa kuwa na idadi kubwa mno ya wasabato, kufiupo wana mara wengi ni wasabato.

Wakurya wanaamini katika vitendo na sio haya mambo ya ushirikina, Mkurya kukuroga labda iwe bahati kwako, wale jamaa mnamalizana kwa vitendo chap chap, na ndio maana wamerundikana sana jeshini, polisi, n.k. japo siku hizi kumkuta daktari, muhasibu, mkuu wa mkoa, mwanasheria, n.k wa kikuria sio ajabu.

Matambiko yanawezekana yawepo maana hata kwa wachaga yapo na wala hakuna tatizo, Ila ushirikina haujapewa kipaumbele, hapa umewasagia kunguni tu (umewasingizia). Ushirikina kwa kiwango kikubwa upo wilaya ya musoma mjini na vijijini ambako nahisi kuna wazanaki na wajaluo, Wakurya wapo wilaya tofauti kabisa, wapo tarime na rorya na kwa upande wa kenya wana wilaya zinaitwa kuria west na kuria east.
 
Back
Top Bottom