Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwezekano kuwa mkoa wa Mara kuwa ndio Mkoa wenye makabila mengi ya asili ya Mara Tanzania nzima.Mkuu, pia wengi huwa wanadhani Mara ni mkoa wenye makabila machache kumbe yapo mengi, huwa wanadhani mara ni mkoa wa watu wasio na elimu kumbe wapo wengi, pia wanadhani wakurya wapo wengi kumbe kiuhalisia ni kabila ambalo ni la watu ambao idadi yao haifikii hata wajita
Hujasema wa napenda sana muziki. Hasa hasa yao ya kijaluo na ni maarufu kwa usanii wa muziki. Eg Jerry NashonWajaluo sio kabila la kuandikwa hovyo😂😂
Ila ni wasomi wabobezi hasa kwenye sheria. Wanapiga ngeli hao. Wanaingiliana sana na wakenya.
Wajaluo wamebarikiwa kwenye Art ya kutengeneza vitu vinavyohusiana na vyuma. Ni wafua vyuma wazuri sana. Wanajua kula na vipofu hao. Akiwa hana kazi anajua unaweza kumpa kazi au kumpa connection, anakuwa very calm, anaweza hata kuosha vyombo na kufua nguo nguo zako😂😂😂. Ukimpa hiyo kazi anaweza kuitumia kukudondosha wewe.
Tatizo sasa
Hawajali kuhusu watu wengine hasa wasiokuwa wajaluo. Ni wachoyo balaa na wakabila sana. Ukikutana na mwenye roho nyeusi ni wana roho mbaya hasa. Ukikaa nao wana matendo ya kustaajibisha balaa, tena wakati mwingine ni matendo ya kuudhi. Ukifanya kazi na mjaluo muda wote wa maisha yenu ujue atakuwa anawaza cheo chako. Wanapenda vyeo haoo, na wakipata vyeo huwa hawako fair.
MJALUO KUKUFUKUZISHA KAZI NI KITENDO CHA KUFUMBA MACHO NA KUFUMBUA.
Asili yao hawatupendi wabantu, na kuna jina ambalo huwa wanatuita wabantu.
Mambo ya kushangaza au kuchekesha Ujaluoni😁😁😁😁
Wasichana waliovunja ungo huwa wanajengewa nyumba zao za nje. Ili iwe rahisi kujifanyia mambo yao. Hasa yale ya😍😍
Zamani kumkuta mjaluo na govi ni jambo la kawaida. Walikuwa wanatahiriwa neno.
Wako very fan😂😂😂. Wana life style zao za kipekee.
USHIRIKINA.
Kwa kweli hawa miamba Teknolojia yao ya ushirikina ni tofauti sana. 😅😅
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini, unaweza kujua ni chai ila ni kweli kabisa.
Kwa mfano,
Unaweza kutegwa sumu kwenye sahani mnayokula watu wengi, ila sumu ukaila peke yako.
Kutegwa sumu kwa njia ya macho ni kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuloga kwa kukuangalia tu.
Maiti kulia akatoa machozi Ujaluoni ni jambo la kawaida.
KWA KWELI MAMBO HASI KWA WAJALUO NI MENGI KULIKO CHANYA.
Navyowafahamu wajita hawana kuteta. Labda hao si wajita original. Wajita wanakupa ukweli. Hawapendi kupindisha. Si wajita tu makabila mengi ya Mara. Ila wanao penda kuteta ni Waruli na wakwaya. Hawa wanakitabia hicho.Wajita wa kiume ni wabishi sana halafu wana tabia za kuwateta watu wengine nafanya nao kazi kituo kimoja, tabia zao siyo nzuri lakin wamama wa Kijita ni wapole na wastaarabu sana.
ni kweli... mjita anajua uvuvi kulima kwake ni kama optionTatizo wajita wao wapo vizuri kwenye shughuri za uvuvi sio kilimo
Katika makabila hayana uchawi ni hili..huo uchawi unaufanya wapi wakati jamaa ugomvi nje nje, uwalogee ndugu yao waje wakuchomee ndani ya nyumba, na mifugo yako waikate kate.Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
hahah kwanini umeuliza jinsia yangu mkuuAiseeeee!!
Hebu tuambie wewe ni Mwanaume au Mwanamke?
haha mjita ni maskini jeuri... maringo na kujidai kweli atofautiani na muhaya kabisa, sasa sijui mtija akizaa na muhaya huyo mtoto atakuaje 😂😂😂Wajita sio wabishi bhana, wabishi ni wakwaya. Wajita wanatabia ya kujiona kama wahaya
Waambie waache kukeketa
OVA
Wakurya wana ukatili uliopitiliza hasa kwa wanawake. Nimeliona hili kwa miaka mingi.
Mapumbavu sana.Tabia ya kuuwana kwa vitu vya kijinga ndio sifa kubwa hujaitaja
Utakuwa hauna akili timamu wewe
Sio bure
tabia ya mtu mmoja unai generalize kabila zima?
Mbuzi kweli wewe!
Kwa hiyo tabia za wamachame ni tabia za wachaga wote?
Tabia za wasabato ni tabia za wakristo wote?
Tabia za washiha ni tabia za waislamu wote?
Kenge wewe!
Umeongea sahihi sana , wajita wanaume wengi wao sio kabisa , si tunaye hapa ofisini daah Noma kabisaWajita wa kiume ni wabishi sana halafu wana tabia za kuwateta watu wengine nafanya nao kazi kituo kimoja, tabia zao siyo nzuri lakin wamama wa Kijita ni wapole na wastaarabu sana.
Ni Noma sanaIla wajita kwa kuteta watu wapo vizuri mno.
Hayo mambo ya mzee odemba bwanaWajaluo sio kabila la kuandikwa hovyo[emoji23][emoji23]
Ila ni wasomi wabobezi hasa kwenye sheria. Wanapiga ngeli hao. Wanaingiliana sana na wakenya.
Wajaluo wamebarikiwa kwenye Art ya kutengeneza vitu vinavyohusiana na vyuma. Ni wafua vyuma wazuri sana. Wanajua kula na vipofu hao. Akiwa hana kazi anajua unaweza kumpa kazi au kumpa connection, anakuwa very calm, anaweza hata kuosha vyombo na kufua nguo nguo zako[emoji23][emoji23][emoji23]. Ukimpa hiyo kazi anaweza kuitumia kukudondosha wewe.
Tatizo sasa
Hawajali kuhusu watu wengine hasa wasiokuwa wajaluo. Ni wachoyo balaa na wakabila sana. Ukikutana na mwenye roho nyeusi ni wana roho mbaya hasa. Ukikaa nao wana matendo ya kustaajibisha balaa, tena wakati mwingine ni matendo ya kuudhi. Ukifanya kazi na mjaluo muda wote wa maisha yenu ujue atakuwa anawaza cheo chako. Wanapenda vyeo haoo, na wakipata vyeo huwa hawako fair.
MJALUO KUKUFUKUZISHA KAZI NI KITENDO CHA KUFUMBA MACHO NA KUFUMBUA.
Asili yao hawatupendi wabantu, na kuna jina ambalo huwa wanatuita wabantu.
Mambo ya kushangaza au kuchekesha Ujaluoni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wasichana waliovunja ungo huwa wanajengewa nyumba zao za nje. Ili iwe rahisi kujifanyia mambo yao. Hasa yale ya[emoji7][emoji7]
Zamani kumkuta mjaluo na govi ni jambo la kawaida. Walikuwa wanatahiriwa neno.
Wako very fan[emoji23][emoji23][emoji23]. Wana life style zao za kipekee.
USHIRIKINA.
Kwa kweli hawa miamba Teknolojia yao ya ushirikina ni tofauti sana. [emoji28][emoji28]
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini, unaweza kujua ni chai ila ni kweli kabisa.
Kwa mfano,
Unaweza kutegwa sumu kwenye sahani mnayokula watu wengi, ila sumu ukaila peke yako.
Kutegwa sumu kwa njia ya macho ni kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuloga kwa kukuangalia tu.
Maiti kulia akatoa machozi Ujaluoni ni jambo la kawaida.
KWA KWELI MAMBO HASI KWA WAJALUO NI MENGI KULIKO CHANYA.
Kwa uungwana na ustaarabu ni lzm wakutie vidole wanakuona SAwa na mwanamke mwenzao,wanakwenda kwa ngumu,teke,meno,ubabe ukiwa padri utowaweza.Labda tu uwe ndugu yake Yesu yaani mtu wa kusamehee na kupotezea.Ukioa katika hayo makabila usiwe lege lege
Hawaendi bila msimamo na mikwara
Wanawake wa kijita nguvu yao ipo kwenye mdomo unaongea neno moja yeye miaMjita ni mbishi aisee
Mkurya ni mbabe..
Hizo namba ni hatari