Taasisi ya Mifupa-MOI
Senior Member
- Apr 15, 2025
- 118
- 214
Kumbe wanamjibu mtu? Kuna mtu aliliamsha?Mgonjwa kasema huko alikoenda yy hakuvishwa headphones na majibu yalitoka ndani ya muda mfupi na akaridhika na huduma
Enewei nilitegemea barua hii😂😂
Kwan ww hutokei bongo auKumbe wanamjibu mtu? Kuna mtu aliliamsha?
Kidokezo: Ikiwa una uoga wa kukaa kwenye sehemu iliyofungwa (clastrophobia), ni vyema kumfahamisha daktari mapema. Wanaweza kukupa dawa ya kutuliza au kutumia mashine ya "Open MRI" ikiwa inapatikana.
Asante, sikujua. Uzuri wa Mamba anajua kueleza jambo. Sasa mbona haya majibu ni danadana tuKwan ww hutokei bongo au
Ehm nenda kwenye page ya Dudubaya Instagram huko kamwaga upupu
Na nyie mnatumia VPN? Boss wenu akijua kazi mtapoteza.
Dudubaya mamba the konki masterKumbe wanamjibu mtu? Kuna mtu aliliamsha?
Ah aha ha asante kwa taarifa MOI dudu zuri kawachokoza huko
Huenda alitumia kipimo kingine kama barua inavyosema...Mgonjwa kasema huko alikoenda yy hakuvishwa headphones na majibu yalitoka ndani ya muda mfupi na akaridhika na huduma
Enewei nilitegemea barua hii😂😂
Teh teh 😃 😃 hata bosi wao anatumia VPN.Na nyie mnatumia VPN? Boss wenu akijua kazi mtapoteza.
moi wapo na huku jf? maajabu dudu hoyeee