Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Hizo ndizo porojo Saida alikuwa chini ya FM na akamdhurumu Ruge alimrudisha kwenye game safari hiiOk, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!
Inaelekea Ruge amekugusa sana, kila kitu ni porojo!Hizo ndizo porojo Saida alikuwa chini ya FM na akamdhurumu Ruge alimrudisha kwenye game safari hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale clouds wana mfanyakazi mmoja ana kanisa. Nadhani itakuwa busara akienda kumsalia boss wake.Alikuwa anasali kanisa gani? Mbona hakuna misa ya kumuaga ni ibada tu zinazoongozwa na familia?
Mfano mdogo umeongea uongo Saida kwamba alikuwa chini ya Ruge kitu ambacho si kweli Felician Muta chini ya FM record ndie alikuwa msimamizi na meneja wake Ruge ndie alie mrudisha kwenye game nyie ndio mnakesha kusema watu vibayaInaelekea Ruge amekugusa sana, kila kitu ni porojo!
Whatever, nasikia aliondoka hawapatani! akilalamkaMfano mdogo umeongea uongo Saida kwamba alikuwa chini ya Ruge kitu ambacho si kweli Felician Muta chini ya FM record ndie alikuwa msimamizi na meneja wake Ruge ndie alie mrudisha kwenye game nyie ndio mnakesha kusema watu vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli kafanya nae kazi mwaka 1 na karibu kipindi chote anaumwa kafanya alichofanya Saida arudi kwenye gameWhatever, nasikia aliondoka hawapatani! akilalamka
Haahahaa nina binamu yangu anatoka koo la Kamugisha, huyu hata familia inamjua na yeye ndo hutambulishwa ndugu wote kabla ya wengine maana mkichelewa tu keshawagambiraaa.Mimi nina marafiki wengi wa kihaya lakini sijawahi kuwaacha peke yao na madem zangu, kwa sababu hakawii kuwaambia " nikugambirage "[emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Haahahaa nina binamu yangu anatoka koo la Kamugisha, huyu hata familia inamjua na yeye ndo hutambulishwa ndugu wote kabla ya wengine maana mkichelewa tu keshawagambiraaa.
Watu hawapendi kusikia ukweli wameshaaminishwa hvyo so wanataka ubakk hvyo... Felician Muta ndo alimdhulumu Saida! Ruge akamrudisha tena kwa kishindo daahhh!Mfano mdogo umeongea uongo Saida kwamba alikuwa chini ya Ruge kitu ambacho si kweli Felician Muta chini ya FM record ndie alikuwa msimamizi na meneja wake Ruge ndie alie mrudisha kwenye game nyie ndio mnakesha kusema watu vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipenda boga penda na Ua lakeKiukweli jamaa tuna mengi ya kujifunza kwake hasa katika maisha lakn mambo yake binafsi sishauri mtu aige maana hayavutii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile huduma yako bado unaitoa ?Watu hawapendi kusikia ukweli wameshaaminishwa hvyo so wanataka ubakk hvyo... Felician Muta ndo alimdhulumu Saida! Ruge akamrudisha tena kwa kishindo daahhh!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Mimi nina marafiki wengi wa kihaya lakini sijawahi kuwaacha peke yao na madem zangu, kwa sababu hakawii kuwaambia " nikugambirage "[emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo tu hazina mpango!...kulalama kuliwasaidia nini sasa[emoji44][emoji44]
Muulize vizuri tena, huyo mke wako!...sio kweliOk, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!