Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Inaelekea Ruge amekugusa sana, kila kitu ni porojo!
Mfano mdogo umeongea uongo Saida kwamba alikuwa chini ya Ruge kitu ambacho si kweli Felician Muta chini ya FM record ndie alikuwa msimamizi na meneja wake Ruge ndie alie mrudisha kwenye game nyie ndio mnakesha kusema watu vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba Pascal Mayalla, enzi hizo ulikua MC! Lakini kila ulipokua unajaribu kutaka kufariji au kupongeza washindi, unakutana na manyoya tu! Huku watu wakiwa walishakula kuku kitambo!! Very interesting! Kwa miaka ile tungesema ulikua domo zege au slow learner!!

Mwisho wa yote huna budi kumshukuru Mungu, labda ungejikuta una copy za kutosha lakini afya yako ikiwa imetetereka.
 
Mimi nina marafiki wengi wa kihaya lakini sijawahi kuwaacha peke yao na madem zangu, kwa sababu hakawii kuwaambia " nikugambirage "[emoji847][emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahahaa nina binamu yangu anatoka koo la Kamugisha, huyu hata familia inamjua na yeye ndo hutambulishwa ndugu wote kabla ya wengine maana mkichelewa tu keshawagambiraaa.
 
Mfano mdogo umeongea uongo Saida kwamba alikuwa chini ya Ruge kitu ambacho si kweli Felician Muta chini ya FM record ndie alikuwa msimamizi na meneja wake Ruge ndie alie mrudisha kwenye game nyie ndio mnakesha kusema watu vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawapendi kusikia ukweli wameshaaminishwa hvyo so wanataka ubakk hvyo... Felician Muta ndo alimdhulumu Saida! Ruge akamrudisha tena kwa kishindo daahhh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
masikini ruge yani ndo alikuwa aanze kula matunda ya kazi zake angefikisha 50 ,sasa eti watu wanasema alikuwa simba mwenye damu kali.ameondoka kabla ya kufaidi matunda yake.
 
Back
Top Bottom