Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Hizo ndizo porojo Saida alikuwa chini ya FM na akamdhurumu Ruge alimrudisha kwenye game safari hiiOk, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!
Sent using Jamii Forums mobile app