Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
- Thread starter
-
- #321
Wana mji wao wa kwenda kufanya Maulid kila mwaka... Unaitwa Touba kipindi cha Maulid hii takribani watu 2m wanakutana pale. Huduma za kula na kulala asilimia kubwa ni bure.... Usishangae kuona Dakar watu ni wachache kwenye Juma la Maulid.... Wanaita Grand Magal of Touba....Wamejitambua na kuwa mfumo wao wa dini na si utumwa wa kutwishwa kila kitu bila kufikiri. Mfano, huu uvaaji wa ninja ni utamaduni wa kiiran wala siyo uislam. Natamani wawe na mji wao wa kuhiji badala ya kupoteza fedha uarabuni kwa wabaguzi
Very interesting. Hii tafsiri yake ni kwamba, kwao soka sio burudani bali biashara, na hii ipo sana West Africa!Tofauti yao ni kwamba hawaendi viwanjani kuangalia michezo. Pamoja na kuwa na viwanja vingi. Wachezaji wengi wanatoka kwny academies... Hata ligi zao si maarufu kwa wasenegal wengi.
Kama ushakaa Zanzibar kidogo utagundua mfano hiyo tabia ya kutoiba Zanzibar kabla ya mwingiliano mkubwa wa watu ilikuwa ukiangusha wallet ya pesa au simu inatangazwa msikitini mwenye navyo akachukue. Pili hakuna kusumbuana na askari au mkigongana magari kusameheana ni jambo la kawaidaKwanini unasema hvyo Chesco?
Mkuu Mzalendo_Mkweli asante kwa compliment.Mkuu Mhandisi Mzalendo salam kwako.
Nimefurahishwa sana na bandiko lako ambalo umeliandika BILA kuinua mabega. Hongera sana (Nawapenda sana Wanyenyekevu). Kama hutojali naomba kukuuliza maswali machache
DINI
Tamaduni za waislam hapa ni tofauti sana na kwetu.
●Uislam ni mtindo wa maisha kwao ni utamaduni wao. Wanauishi uislamu na uislamu unaishi ndani yao.
●Asilimia kubwa hamna ubaguzi wa dini.
SWALI/HOJA
Naomba uweke nyama kidogo yamkini tukapata yakujifunza huku Tanzania
VYOMBO VYA USALAMA NA ULINZI
Unaweza kukaa miezi hata kusimamishwa na traffic usisimamishwe. Unaweza safiri Dar to Mbeya hakuna wa kukusimamisha.
AJALI
Madereva wa Senegal wanapenda kukimbiza sana magari. Sijui wanawahi wapi speed 120 kwao ni kawaida.
SWALI/HOJA
Mkuu kama huko Traffic hawasimamishi magari mara kwa mara JE hizi speed za magari hazisababishi ajali nyingi na maafa kwa watu wengi? Mkuu nimeuliza hili swali kwa mtizamo wa Kitanzania ambako tunaamini kwamba traffic wapo barabarani kutimiza majukumu mbalimbali KUBWA ZAIDI likiwa ni kudhibiti kutokea kwa ajali
Usishangae kukuta mwanajeshi na raia wote wamevaa gwanda wanapiga story.
Au konda kavaa gwanda za jeshi (si za nchi yao) na hakuna shida.
SWALI/HOJA
Mkuu kwa ulivyorleza kuhusu uhusiano wa askari na raia inaonekana ni uhusiano wa kirafiki wenye maadili. Je hebu tuambia vipi hiki KIRUSI cha RUSHWA huko kimedhibiwa kabisa?
UVAAJI WA HIRIZI, SHANGA VIUNONI WAZIWAZI NI KAWAIDA
Usishangae kukutana na mtu kajitwisha hirizi yake na hana muda na mtu. Hii inanikumbusha yule mchezaji wa Simba Pape N'daw kutoka Senegal alikutwa na hirizi kwenye moja ya mechi. Kwao ni kawaida kama bangili.
SWALI/HOJA
Mkuu kwa maelezo yako inaonekana hii nchi ni ya kidini sana SASA hii tabia ya kuvaa hirizi mbona inakinzana na Imani ya Kidini ambayo imetawala kwa sehemu kubwa ya wananchi wainchi hyo?
Ahsante
Nimekuelewa mkuu. Wabara sio waje wapate elimu kidogo ya style za maisha?Kama ushakaa Zanzibar kidogo utagundua mfano hiyo tabia ya kutoiba Zanzibar kabla ya mwingiliano mkubwa wa watu ilikuwa ukiangusha wallet ya pesa au simu inatangazwa msikitini mwenye navyo akachukue. Pili hakuna kusumbuana na askari au mkigongana magari kusameheana ni jambo la kawaida
Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
AsanteMkuu nimeongelea huko katikati...
Ngoja nitafute nikutag....
Mimi nimekaa pale karibu mwaka ila ukiniambia nitaje timu sijui... Wao wana deal na academy zaidi na akigraduate wanataka kwenda kucheza nje. Kwa hiyo zile cream zipo nje ulaya na mabara mengine... Hawataki kubaki....Very interesting. Hii tafsiri yake ni kwamba, kwao soka sio burudani bali biashara, na hii ipo sana West Africa!
And to be honest, mtu akiniwekea dau la Sh 10B nitaje timu moja tu ya soka kutoka Senegal bila msaada wa Google, kuna dalili zote hiyo 10B nitaikosa!!
Big thanks man,Biashara
Almost mazao yao yote wanaimport kutoka nje. Matunda ni gharama sana.
Mchele unahitajika sana. Vitunguu...
Ni watu wanaopenda madini. Kama una biashara hiyo ni nzuri.
Kazi
Kama unafahamu kifaransa na una elimu nzuri kupata kazi ni rahisi si watu wa chap chap kama WaTz so ni easy kukubalika.
Mifugo....
Ujenzi
Mawasiliano
Consultation...
Fursa zipo nyingi kama utajua Kifaransa na una mtaji wa kuanzia.
Kuanzisha kampuni ni rahisi sana na procesa ni fasta.....
Kuna mtu kauliza kuhusu wanawake zao, kiukweli wanawake wa west africa kwa sie wanaume wa East africa kwa kuoa tutastruggle ila wanaume wao kuoa wanawake wetu ni rahisi na ndoa hudumu.Wanawake wao wapo kikazi kazi zaidi na pesa mbele balaa.Wakati naingia US niliwahi kukaa na mghana mmoja tulishare nyumba, ila kila ijumaa siku ya kulipwa lazima zipigwe ngumi yeye na mke wake mpaka kuna siku zilipigwa wakatoka hadi nje uchi ngumi zinaendelea ilibidi police waitwe.Napenda sana kupata maarifa juu ya jamii za watu wengine na nchi zao kama hivi...
Ukibahatika siku kufika huko, unajiona kama kuna kitu unakifahamu...
Kuna mtu kauliza kuhusu wanawake zao, kiukweli wanawake wa west africa kwa sie wanaume wa East africa kwa kuoa tutastruggle ila wanaume wao kuoa wanawake wetu ni rahisi na ndoa hudumu.Wanawake wao wapo kikazi kazi zaidi na pesa mbele balaa.Wakati naingia US niliwahi kukaa na mghana mmoja tulishare nyumba, ila kila ijumaa siku ya kulipwa lazima zipigwe ngumi yeye na mke wake mpaka kuna siku zilipigwa wakatoka hadi nje uchi ngumi zinaendelea ilibidi police waitwe.
Ila wa west kuoa wanawake wa East Africa ndoa inatulia sana kuna wadada wa tatu wa kibongo nawafahamu mmoja kaolewa na mghana, wawili na wa Senegali wapo poa sana, uwa nikiongea na mmoja wa hao wabongo anasema kabisa kurejea bongo ni majaaliwa. Wa West Africa uwaga wakifika mamtoni kurejea kwao ni ngumu sana nafikiri ndio maana wanafanikiwa zaidi kuliko sisi wabongo na wa East africa kwa ujumla.
Asante kwa marekebisho mkuu.Hili neno umelirudia Specie, hapo si kukosea nadhani ulitaka kuandika Specie ni hela ya sarafu ila neno ulilotaka kuandika ni species (ambalo kwa wingi na umoja ni hilo hilo)
Vipi mambo ya kishirikina yapo?Uzuli wa nchi hiyo matajiri wengi pesa zao za kutafuta wao kwetu wazawa wenye pesa ni mafisadi wamekwiba serikalini
Hiyo ndio bia yangu mkuu... Ila bar bia wanauza ghali sana 2000 CFA wakati supermarket ni 600 CFAFlag bia za Senegal ...dah ila sigara Ina picha ya mguu ..inatisha sana
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
Moja ya kuta katika madaraja katikati ya mji wa Dakar......
View attachment 2561897
Kuna watu ambao waliona kutokuwa na mali ni sifaMimi huo ujamaa ulimfanya baba mzazi akawa bladfaken of ze faken. He wasted opportunities and fortunes zilizogharimu familia na jamaa. Sijawahi kuwa proud of him. Na alikua na ujuaji na ubishi wa kihaya faken of faken alimuona Nyerere kama muumba wake.
MmmmmhUzuli wa nchi hiyo matajiri wengi pesa zao za kutafuta wao kwetu wazawa wenye pesa ni mafisadi wamekwiba serikalini
Ila makahaba na vibaka ni walioanza kufunga Tarehe 23Hata imani inachangia nenda pemba unguja tanga kuna tabia nyingine udokozi ukahaba hakuna ukiona kahaba jua ni mgeni
Kweli kabisa. Ujamaa ni nusu uchawi.Kuna watu ambao waliona kutokuwa na mali ni sifa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app