Usiyoyajua kuhusu Senegal

Usiyoyajua kuhusu Senegal

Wamejitambua na kuwa mfumo wao wa dini na si utumwa wa kutwishwa kila kitu bila kufikiri. Mfano, huu uvaaji wa ninja ni utamaduni wa kiiran wala siyo uislam. Natamani wawe na mji wao wa kuhiji badala ya kupoteza fedha uarabuni kwa wabaguzi
Wana mji wao wa kwenda kufanya Maulid kila mwaka... Unaitwa Touba kipindi cha Maulid hii takribani watu 2m wanakutana pale. Huduma za kula na kulala asilimia kubwa ni bure.... Usishangae kuona Dakar watu ni wachache kwenye Juma la Maulid.... Wanaita Grand Magal of Touba....

Ingawa katika nguzo za uislam kwenda MACCAH kuhiji ni muhimu so wenye uwezo wanaenda na wanaenda kwa wingi...
 
Mkuu Mhandisi Mzalendo salam kwako.

Nimefurahishwa sana na bandiko lako ambalo umeliandika BILA kuinua mabega. Hongera sana (Nawapenda sana Wanyenyekevu). Kama hutojali naomba kukuuliza maswali machache

DINI
Tamaduni za waislam hapa ni tofauti sana na kwetu.
●Uislam ni mtindo wa maisha kwao ni utamaduni wao. Wanauishi uislamu na uislamu unaishi ndani yao.
●Asilimia kubwa hamna ubaguzi wa dini.

SWALI/HOJA
Naomba uweke nyama kidogo yamkini tukapata yakujifunza huku Tanzania

VYOMBO VYA USALAMA NA ULINZI

Unaweza kukaa miezi hata kusimamishwa na traffic usisimamishwe. Unaweza safiri Dar to Mbeya hakuna wa kukusimamisha.

AJALI
Madereva wa Senegal wanapenda kukimbiza sana magari. Sijui wanawahi wapi speed 120 kwao ni kawaida
.

SWALI/HOJA

Mkuu kama huko Traffic hawasimamishi magari mara kwa mara JE hizi speed za magari hazisababishi ajali nyingi na maafa kwa watu wengi? Mkuu nimeuliza hili swali kwa mtizamo wa Kitanzania ambako tunaamini kwamba traffic wapo barabarani kutimiza majukumu mbalimbali KUBWA ZAIDI likiwa ni kudhibiti kutokea kwa ajali

Usishangae kukuta mwanajeshi na raia wote wamevaa gwanda wanapiga story.
Au konda kavaa gwanda za jeshi (si za nchi yao) na hakuna shida.

SWALI/HOJA
Mkuu kwa ulivyorleza kuhusu uhusiano wa askari na raia inaonekana ni uhusiano wa kirafiki wenye maadili. Je hebu tuambia vipi hiki KIRUSI cha RUSHWA huko kimedhibiwa kabisa?

UVAAJI WA HIRIZI, SHANGA VIUNONI WAZIWAZI NI KAWAIDA
Usishangae kukutana na mtu kajitwisha hirizi yake na hana muda na mtu. Hii inanikumbusha yule mchezaji wa Simba Pape N'daw kutoka Senegal alikutwa na hirizi kwenye moja ya mechi. Kwao ni kawaida kama bangili.

SWALI/HOJA

Mkuu kwa maelezo yako inaonekana hii nchi ni ya kidini sana SASA hii tabia ya kuvaa hirizi mbona inakinzana na Imani ya Kidini ambayo imetawala kwa sehemu kubwa ya wananchi wainchi hyo?

Ahsante
 
Tofauti yao ni kwamba hawaendi viwanjani kuangalia michezo. Pamoja na kuwa na viwanja vingi. Wachezaji wengi wanatoka kwny academies... Hata ligi zao si maarufu kwa wasenegal wengi.
Very interesting. Hii tafsiri yake ni kwamba, kwao soka sio burudani bali biashara, na hii ipo sana West Africa!

And to be honest, mtu akiniwekea dau la Sh 10B nitaje timu moja tu ya soka kutoka Senegal bila msaada wa Google, kuna dalili zote hiyo 10B nitaikosa!!
 
Kwanini unasema hvyo Chesco?
Kama ushakaa Zanzibar kidogo utagundua mfano hiyo tabia ya kutoiba Zanzibar kabla ya mwingiliano mkubwa wa watu ilikuwa ukiangusha wallet ya pesa au simu inatangazwa msikitini mwenye navyo akachukue. Pili hakuna kusumbuana na askari au mkigongana magari kusameheana ni jambo la kawaida

Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mhandisi Mzalendo salam kwako.

Nimefurahishwa sana na bandiko lako ambalo umeliandika BILA kuinua mabega. Hongera sana (Nawapenda sana Wanyenyekevu). Kama hutojali naomba kukuuliza maswali machache

DINI
Tamaduni za waislam hapa ni tofauti sana na kwetu.
●Uislam ni mtindo wa maisha kwao ni utamaduni wao. Wanauishi uislamu na uislamu unaishi ndani yao.
●Asilimia kubwa hamna ubaguzi wa dini.

SWALI/HOJA
Naomba uweke nyama kidogo yamkini tukapata yakujifunza huku Tanzania

VYOMBO VYA USALAMA NA ULINZI

Unaweza kukaa miezi hata kusimamishwa na traffic usisimamishwe. Unaweza safiri Dar to Mbeya hakuna wa kukusimamisha.

AJALI
Madereva wa Senegal wanapenda kukimbiza sana magari. Sijui wanawahi wapi speed 120 kwao ni kawaida
.

SWALI/HOJA

Mkuu kama huko Traffic hawasimamishi magari mara kwa mara JE hizi speed za magari hazisababishi ajali nyingi na maafa kwa watu wengi? Mkuu nimeuliza hili swali kwa mtizamo wa Kitanzania ambako tunaamini kwamba traffic wapo barabarani kutimiza majukumu mbalimbali KUBWA ZAIDI likiwa ni kudhibiti kutokea kwa ajali

Usishangae kukuta mwanajeshi na raia wote wamevaa gwanda wanapiga story.
Au konda kavaa gwanda za jeshi (si za nchi yao) na hakuna shida.

SWALI/HOJA
Mkuu kwa ulivyorleza kuhusu uhusiano wa askari na raia inaonekana ni uhusiano wa kirafiki wenye maadili. Je hebu tuambia vipi hiki KIRUSI cha RUSHWA huko kimedhibiwa kabisa?

UVAAJI WA HIRIZI, SHANGA VIUNONI WAZIWAZI NI KAWAIDA
Usishangae kukutana na mtu kajitwisha hirizi yake na hana muda na mtu. Hii inanikumbusha yule mchezaji wa Simba Pape N'daw kutoka Senegal alikutwa na hirizi kwenye moja ya mechi. Kwao ni kawaida kama bangili.

SWALI/HOJA

Mkuu kwa maelezo yako inaonekana hii nchi ni ya kidini sana SASA hii tabia ya kuvaa hirizi mbona inakinzana na Imani ya Kidini ambayo imetawala kwa sehemu kubwa ya wananchi wainchi hyo?

Ahsante
Mkuu Mzalendo_Mkweli asante kwa compliment.
Kwenye suala la dini kwa jinsi nilivyozoea Tanzania na pia kusikia propaganda za vyombo mbalimbali kuhusu Uislamu. Mtu unategemea ukiingia kwenye nchi yenye waislamu asilimia 90 na wanaoshika dini basi kutakua na misimamo mikali sana kama tunavyoaminishwa. Lakini watu hawa wanaishi kawaida sana na wanaswali sana. Imani yako kwao si tatzo uwe mkristo uwe mpagani ni juu yako. Wao wanadeal na yao tu. Ikifika muda wa swala wanaswali hata akiwa wapi. Wana upendo wa hali ya juu huwezi sikia mtu kasema kafiri, huwezi ona mtu anasema vibaya dini nyingine.... We kula kitimoto usile shauri yako na Mungu wako.
Sijui madrassa za Tanzania wanafundishwa nini na za huku wanafundishwa nini ila upande wa maadili huku wapo vyema. Pia wanaheshmu sana masheikh wao. Kukuta picha zinauzwa za masheikh maarufu ni kawaida. Wana Maulid yao wanaita GRAND MAGAL OF TOUBA wanakutana zaidi ya waislam 2m kila mwaka.
Pia wana madhehebu kadhaa...
Naomba niishie hapo......

2. Upande wa barabara wamejitahidi sana. Barabara nyingi ni bora sana na za two up to four lane kwa upande mmoja..... Magari yanayopanda na kushuka hayakutani.... Pia wanaheshimu sana pande za barabara kama unakimbia utakaa kushoto kama unaendesha taratibu unakaa kulia....(LHD)
Speed limit yao ni 110.
Ajali kubwa zipo ila ni mikoani ambapo kuna barabara finyu.....
Dakar ina ajali nyingi za kuchubuana kwenye foleni. Madereva wao wanaendesha magari kwa kukaribiana sana wakiwa kwenye foleni.
3.Rushwa ipo ila wanafanya kwa kificho sana.
4. Pamoja na kujua dini sana ila tamaduni zao hawajaacha kwa kiasi kikubwa. Ulinzi binafsi muhimu. But sijui sana kuhusu hili ila nawaona na wanaswali na zana zao zipo mikononi....
Nadhani nimekujibu ingawa si kwa makamilifu. Mimi nilienda kama raia tu kwa hiyo nayoongelea ni yale niliyoyaona kwa macho yangu ya nyama si kwa tafiti wala kuhadithiwa.....
 
Kama ushakaa Zanzibar kidogo utagundua mfano hiyo tabia ya kutoiba Zanzibar kabla ya mwingiliano mkubwa wa watu ilikuwa ukiangusha wallet ya pesa au simu inatangazwa msikitini mwenye navyo akachukue. Pili hakuna kusumbuana na askari au mkigongana magari kusameheana ni jambo la kawaida

Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa mkuu. Wabara sio waje wapate elimu kidogo ya style za maisha?
 
Very interesting. Hii tafsiri yake ni kwamba, kwao soka sio burudani bali biashara, na hii ipo sana West Africa!

And to be honest, mtu akiniwekea dau la Sh 10B nitaje timu moja tu ya soka kutoka Senegal bila msaada wa Google, kuna dalili zote hiyo 10B nitaikosa!!
Mimi nimekaa pale karibu mwaka ila ukiniambia nitaje timu sijui... Wao wana deal na academy zaidi na akigraduate wanataka kwenda kucheza nje. Kwa hiyo zile cream zipo nje ulaya na mabara mengine... Hawataki kubaki....
angalia mafanikio ya timu zao za taifa ukicompare na club level kwa Afrika. Sasa jiulize wachezaji wanatoa wapi?
 
Biashara
Almost mazao yao yote wanaimport kutoka nje. Matunda ni gharama sana.
Mchele unahitajika sana. Vitunguu...

Ni watu wanaopenda madini. Kama una biashara hiyo ni nzuri.

Kazi
Kama unafahamu kifaransa na una elimu nzuri kupata kazi ni rahisi si watu wa chap chap kama WaTz so ni easy kukubalika.

Mifugo....
Ujenzi
Mawasiliano
Consultation...

Fursa zipo nyingi kama utajua Kifaransa na una mtaji wa kuanzia.

Kuanzisha kampuni ni rahisi sana na procesa ni fasta.....
Big thanks man,
Kifaransa changamoto.
 
Napenda sana kupata maarifa juu ya jamii za watu wengine na nchi zao kama hivi...

Ukibahatika siku kufika huko, unajiona kama kuna kitu unakifahamu...
Kuna mtu kauliza kuhusu wanawake zao, kiukweli wanawake wa west africa kwa sie wanaume wa East africa kwa kuoa tutastruggle ila wanaume wao kuoa wanawake wetu ni rahisi na ndoa hudumu.Wanawake wao wapo kikazi kazi zaidi na pesa mbele balaa.Wakati naingia US niliwahi kukaa na mghana mmoja tulishare nyumba, ila kila ijumaa siku ya kulipwa lazima zipigwe ngumi yeye na mke wake mpaka kuna siku zilipigwa wakatoka hadi nje uchi ngumi zinaendelea ilibidi police waitwe.

Ila wa west kuoa wanawake wa East Africa ndoa inatulia sana kuna wadada wa tatu wa kibongo nawafahamu mmoja kaolewa na mghana, wawili na wa Senegali wapo poa sana, uwa nikiongea na mmoja wa hao wabongo anasema kabisa kurejea bongo ni majaaliwa. Wa West Africa uwaga wakifika mamtoni kurejea kwao ni ngumu sana nafikiri ndio maana wanafanikiwa zaidi kuliko sisi wabongo na wa East africa kwa ujumla.
 
Kama wanawake wa Kikenya...
 
Hili neno umelirudia Specie, hapo si kukosea nadhani ulitaka kuandika Specie ni hela ya sarafu ila neno ulilotaka kuandika ni species (ambalo kwa wingi na umoja ni hilo hilo)
Asante kwa marekebisho mkuu.
 
Mimi huo ujamaa ulimfanya baba mzazi akawa bladfaken of ze faken. He wasted opportunities and fortunes zilizogharimu familia na jamaa. Sijawahi kuwa proud of him. Na alikua na ujuaji na ubishi wa kihaya faken of faken alimuona Nyerere kama muumba wake.
Kuna watu ambao waliona kutokuwa na mali ni sifa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom