Usiyoyajua kuhusu Senegal

Thread murua kabisa, watanzania tutenge bajeti ndogo ya kutembea hata nchi jirani.. Mpaka unaondoka duniani hata kufika mpakani kwa basi hujawahi. Muhimu kujua watu walivyo na tamaduni tofauti kwenye huu uso wa ardhi
Muhimu sana hili nafikiri ni suala la tamaduni jinsi tulivyolelewa Watanzania sio watu wa kupenda kusafiri tofauti na watu wa mataifa mengine. Mtu akianza kuwaza kupata pasi ya kusafiria na urasimu atakaokutana nao inapelekea wengi kukata tamaa ya kusafiri
 
Dakar vs Dar es Salaam vipi?..
 
Asilimia 90 umesema ni Waislamu..vipi moja moto moja baridi..zinapatikana tu bila shida?
 
Asilimia 90 umesema ni Waislamu..vipi moja moto moja baridi..zinapatikana tu bila shida?
Ndio mkuu.
Hata kwa sasa migahawa ipo wazi ingawa wakristo wapo kwaresma na waislamu wapo Ramadhani...

It is a free country though haiuzwi maeneo yote ni baadhi ya maeneo yanayokaliwa zaidi na wakuja.... Tuseme zinauzwa zaidi sehemu kama msasani, mikocheni, masaki and the likes....
 
kafiri lilitegemea mtoa mada aelezee mabaya ya waislam,kumbe limekuta mtoa mada anaelezea mema limebaki kutafuta mabaya.
 
Maeneo ya Africa Magharibi hasa french speaking yamekamatwa sana na Lebanese (siyo wahindi)
Umenikumbusha mfanyabiashara wa Kilebanoni kwenye hiki kitabu ndani ya Sierra Leone. Naamini ulichoandika.
 

Attachments

  • download (3).jpeg
    12.1 KB · Views: 13
Marekani inaongoza kwa Ukristo!? South Africa inaongoza kwa Ukristo Africa!? Ungeficha upumbavu wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…