25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Hakuna abaepata mali kwa ujanja wake au shule yake au nguvu zake wala hakuna anayetaka kukosa mali bali yote hiyo ni mipango yake allahKweli kabisa. Ujamaa ni nusu uchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna abaepata mali kwa ujanja wake au shule yake au nguvu zake wala hakuna anayetaka kukosa mali bali yote hiyo ni mipango yake allahKweli kabisa. Ujamaa ni nusu uchawi.
Shukrani for appreciating.Uzi mzuri sana huu. Asikudanganye mtu, kuona kwingi kuna funza mengi.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Muhimu sana hili nafikiri ni suala la tamaduni jinsi tulivyolelewa Watanzania sio watu wa kupenda kusafiri tofauti na watu wa mataifa mengine. Mtu akianza kuwaza kupata pasi ya kusafiria na urasimu atakaokutana nao inapelekea wengi kukata tamaa ya kusafiriThread murua kabisa, watanzania tutenge bajeti ndogo ya kutembea hata nchi jirani.. Mpaka unaondoka duniani hata kufika mpakani kwa basi hujawahi. Muhimu kujua watu walivyo na tamaduni tofauti kwenye huu uso wa ardhi
Dakar vs Dar es Salaam vipi?..Ulivyosema ni asilimia 100 nilikuwa Dakar kikazi mwaka jana mwezi wa Saba ..kuvaa hirizi kwao kawaida kabisa .daladala ni chakavu Sana nitaweka picha .Dakar pale ni magorofa tupu na hakuna fence kama ulivyosema nyumba zimebanana .kwenye msosi kitunguu ni Kila kitu Yani ni kama mboga kuu kwao .Barabara zao ni nzuri sana ..nk
Ndio mkuu.Asilimia 90 umesema ni Waislamu..vipi moja moto moja baridi..zinapatikana tu bila shida?
tungepata picha ya shanga ingekuwa pouwa sanaHapana.
Shanga wanavaa wanawake na wanavaa waziwazi tu. Si kitu cha ajabu...
tungepata picha ya shanga ingekuwa pouwa sana
kafiri katik ubora wako,[emoji1][emoji1787][emoji23][emoji38]Huku Dar panya road wanatoka uswahilini, na uswahilini wakazi wengi ni waislam.
pale kafiri roho inapomuuma akisikia mazuri kutoka kwa waislamWee ndio umekurupuka kujumuisha panya road na uislamu at unasema sehemu inayokaliwa na waislamu Hakuna ualifu Nani kakudanganya wee kijana wa mnyazi mungu
kafiri lilitegemea mtoa mada aelezee mabaya ya waislam,kumbe limekuta mtoa mada anaelezea mema limebaki kutafuta mabaya.Huna data wew unajidanganya Kisha unalitetea dini yenu ya mnyanz badilikeni waleeni watot wenu kwa njia sahih mnadekeza watot Kisha mnakuja kuisifu Senegal kuwa waislmu wake Ni mwaaminifu ,Ni waaminifu kwa kuwa waliwalea watot kimaadili
Acha utapweli wa dini ww
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
shukraniView attachment 2563899
Kama hivi mkuu hapa tulikua tunaangalia mechi za world cup kwenye open space....
Umenikumbusha mfanyabiashara wa Kilebanoni kwenye hiki kitabu ndani ya Sierra Leone. Naamini ulichoandika.Maeneo ya Africa Magharibi hasa french speaking yamekamatwa sana na Lebanese (siyo wahindi)
hii ni fursa kwa snura kupiga pesa kuleNadhani walipenda ile style ya kucheza wakiwa kwenye maji.....
Nadhani sina uhakika....
Huko ni kwa kwenda tena unaenda na familia ili nao wabadilike waache mambo yetu ya porini wakaone ustaarabu wa watu wanaojua dini vizuri..
Marekani inaongoza kwa Ukristo!? South Africa inaongoza kwa Ukristo Africa!? Ungeficha upumbavu wako tu.Ukweli uko hivyo na hiyo haiwezi kubadilika,, kama umenuna pasuka,, nchi nyingi zenye waislam wengi na zinazofuata tamaduni za uislam kama hii Senegal aliyoitolea mfano mleta uzi,, kuna usalama mkubwa mno,, si kwamba naingiza udini la hasha,, isipokuwa huwezi kuizungumzia Senegal pasi na kutaja imani yao kwa kuwa asilimia 90 ni wa imani moja,, south Africa ndio nchi inayoongoza kwa wakristo Africa na marekani ndio nchi inayoongoza kwa wakristo duniani na ndizo zinazoongoza kwa uhalifu
Siku zote hotels na sehemu nyingine za starehe huajiri wanawake wazuri (wenye mvuto).Nililala King Fahad Hotel ndani ya Dakar aseee watoto wa kike wa Dakar ni wazuri aseee