Usiyoyajua kuhusu Senegal

Usiyoyajua kuhusu Senegal

Thread murua kabisa, watanzania tutenge bajeti ndogo ya kutembea hata nchi jirani.. Mpaka unaondoka duniani hata kufika mpakani kwa basi hujawahi. Muhimu kujua watu walivyo na tamaduni tofauti kwenye huu uso wa ardhi
Muhimu sana hili nafikiri ni suala la tamaduni jinsi tulivyolelewa Watanzania sio watu wa kupenda kusafiri tofauti na watu wa mataifa mengine. Mtu akianza kuwaza kupata pasi ya kusafiria na urasimu atakaokutana nao inapelekea wengi kukata tamaa ya kusafiri
 
Ulivyosema ni asilimia 100 nilikuwa Dakar kikazi mwaka jana mwezi wa Saba ..kuvaa hirizi kwao kawaida kabisa .daladala ni chakavu Sana nitaweka picha .Dakar pale ni magorofa tupu na hakuna fence kama ulivyosema nyumba zimebanana .kwenye msosi kitunguu ni Kila kitu Yani ni kama mboga kuu kwao .Barabara zao ni nzuri sana ..nk
Dakar vs Dar es Salaam vipi?..
 
Asilimia 90 umesema ni Waislamu..vipi moja moto moja baridi..zinapatikana tu bila shida?
 
Asilimia 90 umesema ni Waislamu..vipi moja moto moja baridi..zinapatikana tu bila shida?
Ndio mkuu.
Hata kwa sasa migahawa ipo wazi ingawa wakristo wapo kwaresma na waislamu wapo Ramadhani...

It is a free country though haiuzwi maeneo yote ni baadhi ya maeneo yanayokaliwa zaidi na wakuja.... Tuseme zinauzwa zaidi sehemu kama msasani, mikocheni, masaki and the likes....
 
tungepata picha ya shanga ingekuwa pouwa sana
20221129_173802.jpg

Kama hivi mkuu hapa tulikua tunaangalia mechi za world cup kwenye open space....
 
Huna data wew unajidanganya Kisha unalitetea dini yenu ya mnyanz badilikeni waleeni watot wenu kwa njia sahih mnadekeza watot Kisha mnakuja kuisifu Senegal kuwa waislmu wake Ni mwaaminifu ,Ni waaminifu kwa kuwa waliwalea watot kimaadili

Acha utapweli wa dini ww

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
kafiri lilitegemea mtoa mada aelezee mabaya ya waislam,kumbe limekuta mtoa mada anaelezea mema limebaki kutafuta mabaya.
 
Maeneo ya Africa Magharibi hasa french speaking yamekamatwa sana na Lebanese (siyo wahindi)
Umenikumbusha mfanyabiashara wa Kilebanoni kwenye hiki kitabu ndani ya Sierra Leone. Naamini ulichoandika.
 

Attachments

  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    12.1 KB · Views: 13
Ukweli uko hivyo na hiyo haiwezi kubadilika,, kama umenuna pasuka,, nchi nyingi zenye waislam wengi na zinazofuata tamaduni za uislam kama hii Senegal aliyoitolea mfano mleta uzi,, kuna usalama mkubwa mno,, si kwamba naingiza udini la hasha,, isipokuwa huwezi kuizungumzia Senegal pasi na kutaja imani yao kwa kuwa asilimia 90 ni wa imani moja,, south Africa ndio nchi inayoongoza kwa wakristo Africa na marekani ndio nchi inayoongoza kwa wakristo duniani na ndizo zinazoongoza kwa uhalifu
Marekani inaongoza kwa Ukristo!? South Africa inaongoza kwa Ukristo Africa!? Ungeficha upumbavu wako tu.
 
Back
Top Bottom