Usiyoyajua kuhusu Senegal

Nyuma ya Mugabe kulikuwa na nani? Ifike sehemu tukubali ujinga wetu ili tujirekebishe.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ishu ya mugabe ilikuwa tofauti na hii...izo nchi za francophone ni kama bado zinatawaliwa na ufaransa. Kwa io chochote wanachofanya lazima wapewe go ahead na master wao
 
Mkuu mtandao wao wa kijamii Kama hivi jamii forum kule unaitwaje?
 
Na nimekaa, nimeshika pistol
Kuwa makini, usile risasi ya kalioo
Uwezo wako, labda ukawe bar maid discoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Poor Brain
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unaijua pistol wewe ..
Siku yake nikipita hapo takuja nikuoneshe sasa... Ili iwe funzo kwa wengine woteee mnao jiita no malice
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watakuona unapika vitu vya ajabu wanaweza kukufukuza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali, dada angu alikamatwa na unga kilo mbili airport, na enzi zile Tanzania inasifika kwa unga chaap wakamdaka nini hiki anasema unga wa ugali [emoji23][emoji23][emoji23] mbona walimpikisha ugali airport Tena chini ya ulinzi mkali
 
Nae alipikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Kha sasa vipi alikula au...?
ahahah sipati picha wanidake mimi... Hapo hapo nawambia wanifanyie na mpango wa dagaa wabichi wa kukaanga na pilipili (chachandu)
Naivisha dongo nakula saaafi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…