Huku kwetu wanafugika?Wana kondoo wao wanaitwa Ladoum kipindi cha sikukuu za Eid bei zake zinaweza kufika mpaka $80,000. Hiyo ni zaidi ya 187M Tshs
View attachment 2560778
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu wanafugika?Wana kondoo wao wanaitwa Ladoum kipindi cha sikukuu za Eid bei zake zinaweza kufika mpaka $80,000. Hiyo ni zaidi ya 187M Tshs
View attachment 2560778
Hapo mji unaitwa Mbor'o aiseh hujapoz kidogo ukameza mate!!?Kitunguu kwenye kila chakula nimewaza uji wa kitunguu
Nyuma ya Mugabe kulikuwa na nani? Ifike sehemu tukubali ujinga wetu ili tujirekebishe.Mkuu hio jeuri yote inatokana na mkoloni mfaransa kuwa nyuma yake vinginevyo asingepata hicho kiburi cha kun'ngan'gania madaraka.
Kufugika nadhani inawezekana lakini hutaweza kuwauza kwa hiyo pesa.
😀😀😀Hapo mji unaitwa Mbor'o aiseh hujapoz kidogo ukameza mate!!?
Ishu ya mugabe ilikuwa tofauti na hii...izo nchi za francophone ni kama bado zinatawaliwa na ufaransa. Kwa io chochote wanachofanya lazima wapewe go ahead na master waoNyuma ya Mugabe kulikuwa na nani? Ifike sehemu tukubali ujinga wetu ili tujirekebishe.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Nikikuta upuuzi, una pasukaa😂😂
Mbona toka mda ule unanitishia amani..😂😂😂😂 takulipoti. UjueNikikuta upuuzi, una pasukaa😂😂
Kuunda vikundi, ni dalili ya uoga😂😂Mbona toka mda ule unanitishia amani..😂😂😂😂 takulipoti. Ujue
Sikia ulipo mi nipo...Kuunda vikundi, ni dalili ya uoga😂😂
Na nimekaa, nimeshika pistolSikia ulipo mi nipo...
Njee4 hapa si mbali kufika ulipo.
Oky vipi hapo bado uogopi tuu
Mkuu mtandao wao wa kijamii Kama hivi jamii forum kule unaitwaje?Moja ya nchi nazozihusudu na alhamdulillahi niliweza kufika. Japo ilikua short stay. Yote usemayo ni ya kweli. Na binafsi nahusudu sana muziki wao. Na kupitia wao nikapenda sana muziki wa Youssou Ndour na Baaba Maal magwiji wa muziki kutoka hapo, nikapenda wasanii kama Sona Jobarteh wa Gambia, Ali Farka Toure, Toumani Diabate, Ismael Lo(msenegal) and list goes on, kiujumla napenda sana muziki wao na wasanii kutoka Mali, Gambia na Senegal yenyewe..watu kama Salif Keita wa Mali. Baaba Maal huyu anaheshimika sana Senegal kama ilivyo Ndour na aliimba kwenye opening score(film score) za kwenye Black Panther zote 2 na ile movie ya black hawk..
Pia ni watu wapambanaji..list ya matajiri wao 10 wote ni wazawa.
Aah raha sana Senegal.
Viva la Senegal!
😂😂😂😂😂 Unaijua pistol wewe ..Na nimekaa, nimeshika pistol
Kuwa makini, usile risasi ya kalioo
Uwezo wako, labda ukawe bar maid disco😂😂😂 Poor Brain
Hakuna ugali kule 😂😂😂Asante kwa Uzi mzuri Sana
Natamani kufika bambaly
Doh, ntaondoka na unga wanguHakuna ugali kule [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Watakuona unapika vitu vya ajabu wanaweza kukufukuzaDoh, ntaondoka na unga wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali, dada angu alikamatwa na unga kilo mbili airport, na enzi zile Tanzania inasifika kwa unga chaap wakamdaka nini hiki anasema unga wa ugali [emoji23][emoji23][emoji23] mbona walimpikisha ugali airport Tena chini ya ulinzi mkali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watakuona unapika vitu vya ajabu wanaweza kukufukuza
Nae alipika😂😂😂😂😂😂😂😂... Kha sasa vipi alikula au...?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali, dada angu alikamatwa na unga kilo mbili airport, na enzi zile Tanzania inasifika kwa unga chaap wakamdaka nini hiki anasema unga wa ugali [emoji23][emoji23][emoji23] mbona walimpikisha ugali airport Tena chini ya ulinzi mkali