Hapo Mbecke wanauza viatu sandals za ngozi nzuri Sana halafu bei poa mno. Wanatengeneza wenyewe design poa SanaThies ni mji ulio karibu na Dakar, mji ule ni wa mzuri kuna samaki wa kutosha. St. Louis mji wa kitalii huu....
M'boro nadhani ni njia panda ya kuelekea Touba huko yani Mbacke....
Ulipata kupita miaka gani mkuu?
Jamaa wako poa mno. Hawana makuu.Hapo Mbecke wanauza viatu sandals za ngozi nzuri Sana alafu bei poa mno. Wanatengeneza wenyewe design poa Sana...
NaamUnamaanisha "shilingi za kitanzania million mia moja themanin na saba???
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Average prices kipindi cha Eid ni $3000-$5000. Price inaenda mpaka $80000 kama symbol ya ufahari.Kondoo hawa ni gharama. Nadhani kwenye bei hapo ni 80,000/= CFA mpaka 160,000/= CFA kwa kawaida ambayo ni takribani 320,000/= mpaka 640,000/= Tshs.....
Sijajua kipindi cha Eid....
Nini huipa thamani hawa kondoo kuwa ghaliWana kondoo wao wanaitwa Ladoum kipindi cha sikukuu za Eid bei zake zinaweza kufika mpaka $80,000. Hiyo ni zaidi ya 187M Tshs
View attachment 2560778
Dah yan kondoo auzwe kwa Dollar elfthemanini $80k, hiyo haiwezekani. Hata Dubai hafikii bei hiyo hata nusuWana kondoo wao wanaitwa Ladoum kipindi cha sikukuu za Eid bei zake zinaweza kufika mpaka $80,000. Hiyo ni zaidi ya 187M Tshs
View attachment 2560778
Habari,
Nchi nyingi zina utaratibu, mila na desturi za maisha. Kutokana na kuzunguka sehemu mbali mbali leo nmeonelea nikuambie yale yahusuyo Senegal ambayo ni tofauti kidogo na nchi yetu ya Tanzania...
Kuna bodaboda huko?Mziki wao ni mzuri sana ukichagizwa na namna wanavyocheza....
Mji wa Dakar una matajiri haswa. Barabara zao zimejaa magari ya kifahari latest. Majumba ni ya kifahari kwenye sehemu za kishua..
Lengo la uzi ni sentensi hii.Wanamkubali sana Magufuli.
Nao Walimpata mkombozi wao wa wanyonge..😂😂15. Wamekuwa na demokrasia inayokua sana japo Rais wao aliyepita na wa sasa wamejaribu kucheza na katiba kugombea muhula wa tatu kinyume cha katiba.
Mlinda legasi kajiongeza.Lengo la uzi ni sentensi hii.