Usiyoyajua kuhusu Senegal

Usiyoyajua kuhusu Senegal

Thies ni mji ulio karibu na Dakar, mji ule ni wa mzuri kuna samaki wa kutosha. St. Louis mji wa kitalii huu....

M'boro nadhani ni njia panda ya kuelekea Touba huko yani Mbacke....

Ulipata kupita miaka gani mkuu?
Hapo Mbecke wanauza viatu sandals za ngozi nzuri Sana halafu bei poa mno. Wanatengeneza wenyewe design poa Sana

Kuhusu Amani na kutokuwa na wizi umesema kweli Sana mkuu. Hawa jamaa wako poa Sana. Wana usalama mno na hawana matendo ya kishetani kwa asilimia kubwa Sana.

Ile shopping mall yao inaitwa Sea plaza, Dakar bado ipo mkuu?
 
Hapo Mbecke wanauza viatu sandals za ngozi nzuri Sana alafu bei poa mno. Wanatengeneza wenyewe design poa Sana...
Jamaa wako poa mno. Hawana makuu.

Sea plaza sijawahi kufika.

Supermarket nyingi ni AUCHAN mfaransa. Pia kuna CASSINO SUPERMARKETS na nyingine nyingi.

Nipatapo wasaha kurejea nchi ile nitazunguka zaidi...

Very good country.
 
Hali ya hewa yao ikoje maana almost wapo jangwa la Sahara, kuna ukijani kiasi gani au ni vumbi na mchanga?

Vipi kiwango cha umasikini ukilinganisha na Tanzania? Vitu kama nyumba, mpangilio na ubora wa makazi
Kama ni taifa la Kiislamu kwa nini Ijumaa ni siku ya kazi (wakati ndio ilitakiwa kuwa Jumapili yao)?

Watu wao ni weusi kawaida kama bongo ? Maana kwenye Tv naona karibu wote ni weusi tiii
 
15. Wamekuwa na demokrasia inayokuwa sana japo Rais wao aliyepita na wa sasa wamejaribu kucheza na katiba kugombea muhula wa tatu kinyume cha katiba.
Habari,
Nchi nyingi zina utaratibu, mila na desturi za maisha. Kutokana na kuzunguka sehemu mbali mbali leo nmeonelea nikuambie yale yahusuyo Senegal ambayo ni tofauti kidogo na nchi yetu ya Tanzania...
 
Back
Top Bottom