Usiyoyajua kuhusu Senegal

Kulinganisha na bongo,ipi ni nchi masikini kuliko yenzie?

Najua GDP tumewazidi,nataka kujua uchumi wa raia mmoja mmoja.
 
Dah yan kondoo auzawe kwa Dollar elfthemanini $80k, iyo haiwezekani. ata dubai hafikii bei iyo ata nusu
Hiyo hapo inaonyesha inaanzia $3k-$70K. Ingawa kuna mwamba anatokea huko anasema the most expensive price kulipwa ni $80K. Ila mainly inakua kwa ajili ya ufahari na kujulikana let say kwenye mnada mtu anabid $80K. Kama hakuna anaefikia mtu ananunua kondoo kwa 187M.
 
Hali ya hewa ni mchanganyiko...
January mpaka march kuna baridi kiasi.

April - July joto linapanda

July - October ni mvua hivyo vipindi huchanganyika.

Dec ni joto....

Kiwango cha umasikini si sawa na Tanzania. Wametuzidi kiasi kidogo kwenye uhalisia wa maisha sijui kwenye makaratasi.

Mpangilio wa nyumba inategemea na maeneo lakini kwa kiasi wametuzidi.
Tunachowazidi kwao mji mkuu Dakar umejaa. Hvyo ukimiliki kiwanja ni unajenga chote hakuna cha parking wala eneo la kupumzikia. Nyumba zimeungana kabsa. Ila mitaa ipo vyema.

Ni taifa lenye waislamu wengi ila si taifa la kiislamu. Dini kwao ni tamaduni yao. Utaratibu ni wa mfaransa kama mkoloni wao aliyepita. Kumpuzika weekend.

Hawa watu kwa rangi tu ni weusi. Weupe wachache sana ila wapo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…