Usiyoyajua kuhusu Senegal

Usiyoyajua kuhusu Senegal

Dakar city
1200px-Dakar_-_Panorama_urbain.jpg
 
Mziki wao ni mzuri sana ukichagizwa na namna wanavyocheza....

Mji wa Dakar una matajiri haswa. Barabara zao zimejaa magari ya kifahari latest. Majumba ni ya kifahari kwenye sehemu za kishua....

Wasenegal wanapenda kuendeleza vya kwao.
Wawekezaji wengi ni wazawa.
Jamii za wahindi, wachina si wengi kama Tanzania.
Wasenegal hawapendi kulipwa kidogo. Wao kazi ndogo hela nyingi....
Kulinganisha na bongo,ipi ni nchi masikini kuliko yenzie?

Najua GDP tumewazidi,nataka kujua uchumi wa raia mmoja mmoja.
 
Dah yan kondoo auzawe kwa Dollar elfthemanini $80k, iyo haiwezekani. ata dubai hafikii bei iyo ata nusu
Hiyo hapo inaonyesha inaanzia $3k-$70K. Ingawa kuna mwamba anatokea huko anasema the most expensive price kulipwa ni $80K. Ila mainly inakua kwa ajili ya ufahari na kujulikana let say kwenye mnada mtu anabid $80K. Kama hakuna anaefikia mtu ananunua kondoo kwa 187M.
Screenshot_20230321-225651_Chrome.jpg
 
Hali ya hewa yao ikoje maana almost wapo jangwa la Sahara, kuna ukijani kiasi gani au ni vumbi na mchanga?

Vipi kiwango cha umasikini ukilinganisha na Tz,? Vitu kama nyumba, mpangilio na ubora wa makazi
Kama ni taifa la Kiislamu kwa nini Ijumaa ni siku ya kazi (wakati ndio ilitakiwa kuwa jumapili yao)?

Watu wao ni weusi kawaida kama bongo ?maana kwenye Tv naona karibu wote ni weusi tiii
Hali ya hewa ni mchanganyiko...
January mpaka march kuna baridi kiasi.

April - July joto linapanda

July - October ni mvua hivyo vipindi huchanganyika.

Dec ni joto....

Kiwango cha umasikini si sawa na Tanzania. Wametuzidi kiasi kidogo kwenye uhalisia wa maisha sijui kwenye makaratasi.

Mpangilio wa nyumba inategemea na maeneo lakini kwa kiasi wametuzidi.
Tunachowazidi kwao mji mkuu Dakar umejaa. Hvyo ukimiliki kiwanja ni unajenga chote hakuna cha parking wala eneo la kupumzikia. Nyumba zimeungana kabsa. Ila mitaa ipo vyema.

Ni taifa lenye waislamu wengi ila si taifa la kiislamu. Dini kwao ni tamaduni yao. Utaratibu ni wa mfaransa kama mkoloni wao aliyepita. Kumpuzika weekend.

Hawa watu kwa rangi tu ni weusi. Weupe wachache sana ila wapo....
 
Back
Top Bottom