mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Kwa hiyo mkuu unataka kusema watu wa dini ile kule ni wezi!?nchi nyingi zenye waislam wengi uhalifu ni mchache sana,, Somalia huko wanakosema kuna vita unaweza kulala hata hata mlango wazi,, kifupi panya road wakutafuta kwa tochi kama si hakuna kabisa