Usiyoyajua kuhusu Senegal

wew nchi inaongoza kwa wakristo wengi ni CONGO KWA AFRICA
 
Wanauza na wanafuga kwa wanaoamini.

Nilipata kwenda mkoa mmoja unaitwa KAOLACK kule nguruwe wanaachiwa tu wanazagaa kama mbuzi....

Dakar nilihudhuria mgahawa mmoja yule mpishi wa kitimoto si mkristo.....
Mkuu kaolack city huo mji si ndio spiritual city ya waislam wa senegal inakuwaje nguruwe wanazurura ovyo?
 
Mkuu mazao gani wanayo import sana kutoka nje,na kwa uzoefu wako kitu gani kutoka Tanzania ukipeleka huko kinaweza kupata solo la uhakika.

Chakula Kikuyu huko ni mahindi au Michele,vipi mazao ya samaki na dagaa
 
Mkuu mazao gani wanayo import sana kutoka nje,na kwa uzoefu wako kitu gani kutoka Tanzania ukipeleka huko kinaweza kupata solo la uhakika.

Chakula Kikuyu huko ni mahindi au Michele,vipi mazao ya samaki na dagaa
Nianzie chini...
Chakula kikuu ni mchele sana mahindi hawatumii kwa kiasi kikubwa.
Ngano pia wanatumia sana kwa kuwa wanapenda mikate kama ilivyo desturi ya Mfaransa.
Kahawa, sukari, viungo mbalimbali, karoti, nyanya, vitunguu ndio usiseme wanatumia sana vitunguu....

Matunda wana import karibu yote na ni GMO... Mtu ukiweza kuimport natural utabamba...
Parachichi ni gharama sana... Parachichi dogo linaenda kwa wastani wa Tshs. 3,000/= kuendelea naposema dogo ni yale tunanunua mia 3 -5 kwa TZ. Huku ukibahatika kuleta parachichi ni hatari.

Kikwazo kikubwa hakuna mahusiano makubwa kati ya TZ na Senegal kwa hiyo njia za usafirishaji ni ngumu...
Ubalozi wa TZ upo Nigeria na Ubalozi wa Senegal upo Kigali...
 
Mkuu upo sahii hawa jamaa asilimia kubwa wamenyooka sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…