Usiyoyajua kuhusu Senegal

Usiyoyajua kuhusu Senegal

IMG20230130170432.jpg
 
Ukweli uko hivyo na hiyo haiwezi kubadilika,, kama umenuna pasuka,, nchi nyingi zenye waislam wengi na zinazofuata tamaduni za uislam kama hii Senegal aliyoitolea mfano mleta uzi,, kuna usalama mkubwa mno,, si kwamba naingiza udini la hasha,, isipokuwa huwezi kuizungumzia Senegal pasi na kutaja imani yao kwa kuwa asilimia 90 ni wa imani moja,, south Africa ndio nchi inayoongoza kwa wakristo Africa na marekani ndio nchi inayoongoza kwa wakristo duniani na ndizo zinazoongoza kwa uhalifu
wew nchi inaongoza kwa wakristo wengi ni CONGO KWA AFRICA
 
Wanauza na wanafuga kwa wanaoamini.

Nilipata kwenda mkoa mmoja unaitwa KAOLACK kule nguruwe wanaachiwa tu wanazagaa kama mbuzi....

Dakar nilihudhuria mgahawa mmoja yule mpishi wa kitimoto si mkristo.....
Mkuu kaolack city huo mji si ndio spiritual city ya waislam wa senegal inakuwaje nguruwe wanazurura ovyo?
 
Fursa za kiuchumi zipo nyingi....

1. Kilimo wapo chini sana. Asilimia kubwa ya mazao wana import kutoka nje.
2. Biashara mbali mbali kuanzia vyakula, vifaa vya umeme, vipuri vya magari, hardware....
3. Kazi za wasomi zipo kikwazo ni lugha. Usipojua kifaransa na lugha yao kufanya kazi ni ngumu. Wachache wanaongea kingereza.
4. Nchi hii inajengwa kila sehemu. Vibarua vya kazi ngumu vipo na wenyeji hawapendi. So wengi wanatoka Guinea, Gambia n.k
Mkuu mazao gani wanayo import sana kutoka nje,na kwa uzoefu wako kitu gani kutoka Tanzania ukipeleka huko kinaweza kupata solo la uhakika.

Chakula Kikuyu huko ni mahindi au Michele,vipi mazao ya samaki na dagaa
 
Mkuu mazao gani wanayo import sana kutoka nje,na kwa uzoefu wako kitu gani kutoka Tanzania ukipeleka huko kinaweza kupata solo la uhakika.

Chakula Kikuyu huko ni mahindi au Michele,vipi mazao ya samaki na dagaa
Nianzie chini...
Chakula kikuu ni mchele sana mahindi hawatumii kwa kiasi kikubwa.
Ngano pia wanatumia sana kwa kuwa wanapenda mikate kama ilivyo desturi ya Mfaransa.
Kahawa, sukari, viungo mbalimbali, karoti, nyanya, vitunguu ndio usiseme wanatumia sana vitunguu....

Matunda wana import karibu yote na ni GMO... Mtu ukiweza kuimport natural utabamba...
Parachichi ni gharama sana... Parachichi dogo linaenda kwa wastani wa Tshs. 3,000/= kuendelea naposema dogo ni yale tunanunua mia 3 -5 kwa TZ. Huku ukibahatika kuleta parachichi ni hatari.

Kikwazo kikubwa hakuna mahusiano makubwa kati ya TZ na Senegal kwa hiyo njia za usafirishaji ni ngumu...
Ubalozi wa TZ upo Nigeria na Ubalozi wa Senegal upo Kigali...
 
Anakutoa tuu kwenye reli wahuni wanatafuta tatizo mimi huwa napenda kusafiri tukijaaliwa uzima ntapita hapo Senegal nina jamaa zangu Wasenegal kweli ni waaminifu mwingine yupo Johannesburg tuliwahi kuwa pamoja Cape Town ana maduka ya nguo mengi JHB ukimtumia hela akalipe sehemu akiichukua anaandika kwenye daftari nina pesa ya mtu fulani awe Mkenya au Mtanzania na inatakiwa iende sehemu fulani akiweka hela Bank anafuta kwenye daftari lake au Laptop yake...jamaa kanyoka mno mno... anamshangaa muislamu asieswali kabisaa...
Mkuu upo sahii hawa jamaa asilimia kubwa wamenyooka sana....
 
Back
Top Bottom