Dr Ismaily
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 289
- 552
Tembea uone
Aliyekaa Botswana aje atusimulie kidogo
Mweeeeh!!!
Aliyekaa Botswana aje atusimulie kidogo
Mweeeeh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wew nchi inaongoza kwa wakristo wengi ni CONGO KWA AFRICAUkweli uko hivyo na hiyo haiwezi kubadilika,, kama umenuna pasuka,, nchi nyingi zenye waislam wengi na zinazofuata tamaduni za uislam kama hii Senegal aliyoitolea mfano mleta uzi,, kuna usalama mkubwa mno,, si kwamba naingiza udini la hasha,, isipokuwa huwezi kuizungumzia Senegal pasi na kutaja imani yao kwa kuwa asilimia 90 ni wa imani moja,, south Africa ndio nchi inayoongoza kwa wakristo Africa na marekani ndio nchi inayoongoza kwa wakristo duniani na ndizo zinazoongoza kwa uhalifu
Mkuu kaolack city huo mji si ndio spiritual city ya waislam wa senegal inakuwaje nguruwe wanazurura ovyo?Wanauza na wanafuga kwa wanaoamini.
Nilipata kwenda mkoa mmoja unaitwa KAOLACK kule nguruwe wanaachiwa tu wanazagaa kama mbuzi....
Dakar nilihudhuria mgahawa mmoja yule mpishi wa kitimoto si mkristo.....
Mkuu mazao gani wanayo import sana kutoka nje,na kwa uzoefu wako kitu gani kutoka Tanzania ukipeleka huko kinaweza kupata solo la uhakika.Fursa za kiuchumi zipo nyingi....
1. Kilimo wapo chini sana. Asilimia kubwa ya mazao wana import kutoka nje.
2. Biashara mbali mbali kuanzia vyakula, vifaa vya umeme, vipuri vya magari, hardware....
3. Kazi za wasomi zipo kikwazo ni lugha. Usipojua kifaransa na lugha yao kufanya kazi ni ngumu. Wachache wanaongea kingereza.
4. Nchi hii inajengwa kila sehemu. Vibarua vya kazi ngumu vipo na wenyeji hawapendi. So wengi wanatoka Guinea, Gambia n.k
.mkuu Ni serious hili hyo mbno ilinipita naomba link nifatilie Jambo Hilo
Tatizo la ruto Ni naibu wake anaropoka sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na hiyo nchi inayojadiliwa hapa ni ya kiislamu?Sasa kwa akili yako zanzibar kuna panya road??? Na hiyo Tanzania uliyoutolea mfano kwani nchi ya kiislam??
Umekurupuka!!
CCM & CCP romance.Wachina wanalelewa na Serikali, miaka ijayo sijui hali itakuwaje
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mambo yatakuja kuwa mabaya sana kama tusipowabana wachina.CCM & CCP romance.
Nianzie chini...Mkuu mazao gani wanayo import sana kutoka nje,na kwa uzoefu wako kitu gani kutoka Tanzania ukipeleka huko kinaweza kupata solo la uhakika.
Chakula Kikuyu huko ni mahindi au Michele,vipi mazao ya samaki na dagaa
Ndio Tigo walikuwepo kwa maana ya MILICOM ili wakauza kwa mwekezaji mwingine na sasa wanaitwa FREE.View attachment 2561166
Naona miamvuli ya tigo
Ndio Tigo walikuwepo kwa maana ya MILICOM ili wakauza kwa mwekezaji mwingine na sasa wanaitwa FREE.View attachment 2561166
Naona miamvuli ya tigo
Upo sahii... Lebanese wapo na wajanja sana ila si idadi kubwa kama wahindi TzMaeneo ya Africa Magharibi hasa french speaking yamekamatwa sana na Lebanese (siyo wahindi)
Mkuu upo sahii hawa jamaa asilimia kubwa wamenyooka sana....Anakutoa tuu kwenye reli wahuni wanatafuta tatizo mimi huwa napenda kusafiri tukijaaliwa uzima ntapita hapo Senegal nina jamaa zangu Wasenegal kweli ni waaminifu mwingine yupo Johannesburg tuliwahi kuwa pamoja Cape Town ana maduka ya nguo mengi JHB ukimtumia hela akalipe sehemu akiichukua anaandika kwenye daftari nina pesa ya mtu fulani awe Mkenya au Mtanzania na inatakiwa iende sehemu fulani akiweka hela Bank anafuta kwenye daftari lake au Laptop yake...jamaa kanyoka mno mno... anamshangaa muislamu asieswali kabisaa...
Watukutu hawakosekani boss. Ukikaa siku 2 mahabusu ya polisi ujue siku ya 3 mahakamani....Mkuu vipi kuhusu magereza yao na wafungwa