Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama fix si ukae kimyaa tu mkuu, wewe si msafiri unaweza kuta hata Nairobi tu hujafika. Sie wasafiri na watafutaji ametusaidia kuijua Senegal. Mie sikwenda Dakar tu kipindi hicho lakini baada ya huu uzi lazima nitie timu huko mwaka huu Mhandisi mzalendo kanisaidia sana hapa. InshaallahUzi umekaa kifix huu
Acha uongo mkuu na jesi wee inamaana umeenda na jesi za timu mbili mbna ubaanda kuwa muongo muongo acha hzo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe unataka mambo Malaya ya nini? wewe nenda kawe mwizi, katapeli au kazini na wake za watu ndio utajua mabaya yao.Then kwa mtu uliyempa hii story akienda akakumbana na Mambo tofauti huon ushampoteza. Siku zote ukifanya utafiti njoo na ubaya na uzur ucje na upande mmoja tu. Maana hapa tupo kujifunza. Na hili hukuliandika huku kwaajili yako ni kwaajili yetu pia. Tunajifunza kila cku kwenye hasi na chanya
Kuna jamaa yangu alikwenda kufanya kazi Senegal (UN) akamuacha Mke wake TZ. Si nikamtembelea wakati nimeenda katika mkutano. Sikuamini alikuwa ashatekwa na msenegalise mama ambaye walikuwa ofisi moja. Kibarua kilipoisha alirudi na sandarusi tu. Ikabidi tumpigie magoti nke yake ya hapa ili asiadhirike. Wasenegalise wanawake, we acha tu.Wanawake wao wanapenda hela sana. Wanaamini mwanamke ni wa kupewa tu kutoka kwa mwanaume.
Siku ya mwanamke duniani wanawake walio kwenye ndoa Dakar hakuna kupika.... Baba utajua unakula wapi...
Wanasemaga ukichukua mwanamke wa Kisenegal hutoki.Kuna jamaa yangu alikwenda kufanya kazi Senegal (UN) akamuacha Mke wake TZ. Si nikamtembelea wakati nimeenda katika mkutano. Sikuamini alikuwa ashatekwa na msenegalise mama ambaye walikuwa ofisi moja. Kibarua kilipoisha alirudi na sandarusi tu. Ikabidi tumpigie magoti nke yake ya hapa ili asiadhirike. Wasenegalise wanawake, we acha tu.
Nchi zote za kijamaajamaa huwa hazitaki raia wake watoke. Mnakuwa kama mpo jela hivi.Karibu kila kaya ya msenegal ina ndugu nje ya nchi hususani Ulaya na America. Akina sie doh!
Sie kufungiana vioo na husda. Wasenegal roho zimenyooka.
Wana ustaarabu wa hali ya juu mno na ukarimu. Sio walaghai japo wanauweza ukenge vizuri tu.
Wanaaminika kuliko ndugu zao/wa west wenzao the likes of Nigeria na Ghana.
Ni kweli, mpaka yeye akuchoke. Ni wajanja, sijawahi ona; yote utapeli tu.Wanasemaga ukichukua mwanamke wa Kisenegal hutoki.
Wana mahaba, heshima na pia wanatumia hela sana....
Karibu kila kaya ya msenegal ina ndugu nje ya nchi hususani Ulaya na America. Akina sie doh!
Sie kufungiana vioo na husda. Wasenegal roho zimenyooka.
Wana ustaarabu wa hali ya juu mno na ukarimu. Sio walaghai japo wanauweza ukenge vizuri tu.
Wanaaminika kuliko ndugu zao/wa west wenzao the likes of Nigeria na Ghana.
Nakazia[emoji4]Thread murua kabisa, watanzania tutenge bajeti ndogo ya kutembea hata nchi jirani.. Mpaka unaondoka duniani hata kufika mpakani kwa basi hujawahi. Muhimu kujua watu walivyo na tamaduni tofauti kwenye huu uso wa ardhi
Kwa kimo hakika ni warefu.... Futi 6 kwenda juu ni kawaida wanawake kwa waume....Kingine,
Wasenegali Wengi ni warefu wa kimo cha juu na chini[emoji23]