Usiyoyajua kuhusu Senegal

Usiyoyajua kuhusu Senegal

Uzi umekaa kifix huu
Kama fix si ukae kimyaa tu mkuu, wewe si msafiri unaweza kuta hata Nairobi tu hujafika. Sie wasafiri na watafutaji ametusaidia kuijua Senegal. Mie sikwenda Dakar tu kipindi hicho lakini baada ya huu uzi lazima nitie timu huko mwaka huu Mhandisi mzalendo kanisaidia sana hapa. Inshaallah
 
Then kwa mtu uliyempa hii story akienda akakumbana na Mambo tofauti huon ushampoteza. Siku zote ukifanya utafiti njoo na ubaya na uzur ucje na upande mmoja tu. Maana hapa tupo kujifunza. Na hili hukuliandika huku kwaajili yako ni kwaajili yetu pia. Tunajifunza kila cku kwenye hasi na chanya
Wewe unataka mambo Malaya ya nini? wewe nenda kawe mwizi, katapeli au kazini na wake za watu ndio utajua mabaya yao.
 
Senegal ndo nchi pekee in West Africa ambayo napenda chakula chake.

Nikienda mji wowote ule kwanza huwa natafuta East African restaurant, nikikosa natafuta a Senegalese restaurant wana misosi mizuri, nayo nikikosa natafuta a Jamaican one hiyo najua zipo kila kona.

Nitafika huko siku moja.
 
Wanawake wao wanapenda hela sana. Wanaamini mwanamke ni wa kupewa tu kutoka kwa mwanaume.
Siku ya mwanamke duniani wanawake walio kwenye ndoa Dakar hakuna kupika.... Baba utajua unakula wapi...
Kuna jamaa yangu alikwenda kufanya kazi Senegal (UN) akamuacha Mke wake TZ. Si nikamtembelea wakati nimeenda katika mkutano. Sikuamini alikuwa ashatekwa na msenegalise mama ambaye walikuwa ofisi moja. Kibarua kilipoisha alirudi na sandarusi tu. Ikabidi tumpigie magoti nke yake ya hapa ili asiadhirike. Wasenegalise wanawake, we acha tu.
 
Wanasemaga ukichukua mwanamke wa Kisenegal hutoki.

Wana mahaba, heshima na pia wanatumia hela sana....
 
Karibu kila kaya ya msenegal ina ndugu nje ya nchi hususani Ulaya na America. Akina sie doh!
Sie kufungiana vioo na husda. Wasenegal roho zimenyooka.
Wana ustaarabu wa hali ya juu mno na ukarimu. Sio walaghai japo wanauweza ukenge vizuri tu.
Wanaaminika kuliko ndugu zao/wa west wenzao the likes of Nigeria na Ghana.
Nchi zote za kijamaajamaa huwa hazitaki raia wake watoke. Mnakuwa kama mpo jela hivi.
 
Karibu kila kaya ya msenegal ina ndugu nje ya nchi hususani Ulaya na America. Akina sie doh!
Sie kufungiana vioo na husda. Wasenegal roho zimenyooka.
Wana ustaarabu wa hali ya juu mno na ukarimu. Sio walaghai japo wanauweza ukenge vizuri tu.
Wanaaminika kuliko ndugu zao/wa west wenzao the likes of Nigeria na Ghana.

Kwenye huu uzi nilijaribu kuongelea hilo.
 
Thread murua kabisa, watanzania tutenge bajeti ndogo ya kutembea hata nchi jirani.. Mpaka unaondoka duniani hata kufika mpakani kwa basi hujawahi. Muhimu kujua watu walivyo na tamaduni tofauti kwenye huu uso wa ardhi
Nakazia[emoji4]
 
Kumbe Ni sehemu nzuri ya kufanya biashara ya kondoo kipindi cha sikukuu za Eid aisee
 
Back
Top Bottom