Usiyoyajua kuhusu Senegal

Usiyoyajua kuhusu Senegal

Umesahau na France, utasema ndio kwao, hata timu ya taifa ya ufaransa imejaa weusi wengi wamezaliwa pale, kutokana na wazee wao kusettle pale wengi ni kutoka Senegal, Ivory Coast, Mali, Guinea, Cameroon etc. wengi ni 3rd or 4th generation. Wabongo wakikaa ughaibuni kidogo utawasikia wanataka kurudi nyumbani hawawazi kuhusu miaka 50 ijayo ya vizazi vyao. Ujamaa ulituharibu sana.
Kina Haseem Thabeet kila siku yupo bongo wakat ndo alishatoboa hivo
 
Dakar inabadilika badilika.

December mpaka March kuna baridi na kuna nyuzijoto kama 20-25

April mpaka July hali ya hewa ni wastani joto kiasi kama nyuzijoto 30..

August mpaka November ni kipindi cha mvua na joto kali..
Shukran...vipi kuhusu fujo za kisiasa maana naskia hali si shwari pande izo
 
Rais aliyepo Madarakani alishinda uchaguzi kupitia upinzani, anataka kubadili Katiba ili aendelee kula mema ya nchi, Wananchi wamemdindia ndiyo maana kimenuka.
Katiba ilibadilishwa kitambo.

Ilivyokua zamani ni rais alikua anakaa term mbili kwa miaka 7 ya kwanza na 7 ya pili.

Jamaa alivyoingia madarakani akasema miaka 7 ni mingi sana. Wakabadili katiba wakaweka mitano.

Kwa hiyo alivyohudumu ile 7 ya kwanza akagombea tena akapewa mitano ambayo inaisha mwakani.
Now kanogewa wanasema(yeye hajatamka) ile 7 ya kwanza haihesabiki kwa katiba ya sasa. Kwa hiyo kahudumu miaka mitano ya kwanza bado mitano mingine.

Kivumbiii
 
Trump hakukosea Afrika tulistahili kutawaliwa mpaka sasa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Yes kwa sasa hali si shwari kabsa. Kuna maandamano baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa jela miaka miwili. Kwa kukiamsha wanakiamsha kweli.

Rais wao Macky Sall naona kanogewa na madaraka hataki kutoka kizembe.
Baadae wanaanza mlaumu MAREKANI kawagombanisha
 
Katiba ilibadilishwa kitambo.

Ilivyokua zamani ni rais alikua anakaa term mbili kwa miaka 7 ya kwanza na 7 ya pili.

Jamaa alivyoingia madarakani akasema miaka 7 ni mingi sana. Wakabadili katiba wakaweka mitano.

Kwa hiyo alivyohudumu ile 7 ya kwanza akagombea tena akapewa mitano ambayo inaisha mwakani.
Now kanogewa wanasema(yeye hajatamka) ile 7 ya kwanza haihesabiki kwa katiba ya sasa. Kwa hiyo kahudumu miaka mitano ya kwanza bado mitano mingine.

Kivumbiii
Mkuu hio jeuri yote inatokana na mkoloni mfaransa kuwa nyuma yake vinginevyo asingepata hicho kiburi cha kun'ngan'gania madaraka.
 
Nakubali kwa hili. Ndio maana waandamanaji wana target mali zinazomilikiwa na ufaransa kama supermaket za AUCHAN, gas station za SHELL na TOTAL. Ubalozi wa ufaransa n.k
 
Back
Top Bottom