Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo uongo,wizi wizi tu sijui tupoje
YaanBongo inabidi ukae kimkakati maana ni hatari Sana
Umetoa elimu nzuri sana nimeamini wa TZ hatuna elimu ya nje ni mazuzu uyafikiri tumefungwa kwenye chupa
[/QUOTE
Kina Haseem Thabeet kila siku yupo bongo wakat ndo alishatoboa hivoUmesahau na France, utasema ndio kwao, hata timu ya taifa ya ufaransa imejaa weusi wengi wamezaliwa pale, kutokana na wazee wao kusettle pale wengi ni kutoka Senegal, Ivory Coast, Mali, Guinea, Cameroon etc. wengi ni 3rd or 4th generation. Wabongo wakikaa ughaibuni kidogo utawasikia wanataka kurudi nyumbani hawawazi kuhusu miaka 50 ijayo ya vizazi vyao. Ujamaa ulituharibu sana.
Hawawafikii Sudan KusiniIla wasenagal Ni weusi balaa, sijui Ni kitu gani kilichosazwa wawe weusi kiasi hicho
Mkuu jua ni kali sana huku.... Lazima uwe mweusi... Mimi nilibadilika rangiIla wasenagal Ni weusi balaa, sijui Ni kitu gani kilichosazwa wawe weusi kiasi hicho
Dakar inabadilika badilika.Hali ya hewa vipi huko hasahasa dakar
Shukran...vipi kuhusu fujo za kisiasa maana naskia hali si shwari pande izoDakar inabadilika badilika.
December mpaka March kuna baridi na kuna nyuzijoto kama 20-25
April mpaka July hali ya hewa ni wastani joto kiasi kama nyuzijoto 30..
August mpaka November ni kipindi cha mvua na joto kali..
Kwa sasa hvi ni kivumbiShukran...vipi kuhusu fujo za kisiasa maana naskia hali si shwari pande izo
Rais aliyepo Madarakani alishinda uchaguzi kupitia upinzani, anataka kubadili Katiba ili aendelee kula mema ya nchi, Wananchi wamemdindia ndiyo maana kimenuka.Shukran...vipi kuhusu fujo za kisiasa maana naskia hali si shwari pande izo
Kwanini watanzania wamekubali kuwa wapumbavu na kushindwa kujifunza lolote toka kwa Senegalese ?Rais aliyepo Madarakani alishinda uchaguzi kupitia upinzani, anataka kubadili Katiba ili aendelee kula mema ya nchi, Wananchi wamemdindia ndiyo maana kimenuka.
Yes kwa sasa hali si shwari kabsa. Kuna maandamano baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa jela miaka miwili. Kwa kukiamsha wanakiamsha kweli.Shukran...vipi kuhusu fujo za kisiasa maana naskia hali si shwari pande izo
Katiba ilibadilishwa kitambo.Rais aliyepo Madarakani alishinda uchaguzi kupitia upinzani, anataka kubadili Katiba ili aendelee kula mema ya nchi, Wananchi wamemdindia ndiyo maana kimenuka.
Trump hakukosea Afrika tulistahili kutawaliwa mpaka sasaKatiba ilibadilishwa kitambo.
Ilivyokua zamani ni rais alikua anakaa term mbili kwa miaka 7 ya kwanza na 7 ya pili.
Jamaa alivyoingia madarakani akasema miaka 7 ni mingi sana. Wakabadili katiba wakaweka mitano.
Kwa hiyo alivyohudumu ile 7 ya kwanza akagombea tena akapewa mitano ambayo inaisha mwakani.
Now kanogewa wanasema(yeye hajatamka) ile 7 ya kwanza haihesabiki kwa katiba ya sasa. Kwa hiyo kahudumu miaka mitano ya kwanza bado mitano mingine.
Kivumbiii
Baadae wanaanza mlaumu MAREKANI kawagombanishaYes kwa sasa hali si shwari kabsa. Kuna maandamano baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa jela miaka miwili. Kwa kukiamsha wanakiamsha kweli.
Rais wao Macky Sall naona kanogewa na madaraka hataki kutoka kizembe.
Trump hakukosea Afrika tulistahili kutawaliwa mpaka sasa
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mkuu hio jeuri yote inatokana na mkoloni mfaransa kuwa nyuma yake vinginevyo asingepata hicho kiburi cha kun'ngan'gania madaraka.Katiba ilibadilishwa kitambo.
Ilivyokua zamani ni rais alikua anakaa term mbili kwa miaka 7 ya kwanza na 7 ya pili.
Jamaa alivyoingia madarakani akasema miaka 7 ni mingi sana. Wakabadili katiba wakaweka mitano.
Kwa hiyo alivyohudumu ile 7 ya kwanza akagombea tena akapewa mitano ambayo inaisha mwakani.
Now kanogewa wanasema(yeye hajatamka) ile 7 ya kwanza haihesabiki kwa katiba ya sasa. Kwa hiyo kahudumu miaka mitano ya kwanza bado mitano mingine.
Kivumbiii
Nakubali kwa hili. Ndio maana waandamanaji wana target mali zinazomilikiwa na ufaransa kama supermaket za AUCHAN, gas station za SHELL na TOTAL. Ubalozi wa ufaransa n.kMkuu hio jeuri yote inatokana na mkoloni mfaransa kuwa nyuma yake vinginevyo asingepata hicho kiburi cha kun'ngan'gania madaraka.