Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo.
Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni jamaa mmoja wa shinyanga alikua akitoa ushuhuda , wa jinsi alivyomtumikia shetani kama mganga wa kienyeji, mpaka hapo alipookolewa na Mola wetu.
Huyu mwamba anaeleza mambo mazito sana ,hivi umewahi kuyasikia?
Twende pamoja
Mwamba anadai kwenye uganga ukitaka kumloga mtu kuna mambo ambayo lazma uyafahamu.
Twende kazi
Mfano unataka kumloga mtu ambaye siyo ndugu yako wa damu ,nikimaanisha mliyeshea baba ,huwa ni kazi nzito,kivipi?
Huwa katiaka sekta za uchawi muunganiko wa damu ni jambo la msingi sana,hivyo ukitaka kumloga mtu ambaye siyo ndugu wa damu mliyeshea baba inakua ngumu maana damu haziingiliani.
Kivipi?
Mfano ukitaka kumloga mtu baki lazima mnyama achinjwe ,mfano kuku,mbuz na kondoo .
Akishachinjwa inahitajika damu yako ,au nywele zako ili kufanya mageuzi ya damu kuwa ya kindugu ili uchawi uweze kupenya.
Sasa hapo kwenye nywele au damu ya unayetaka kumloga ,upatikanaji wake ndio huwa changamoto.
Hapo sasa ndipo inaingia secta ya wanga ,wanga kazi yao ni kubeba damu ya walengwa au nywele zao kwa njia za kishirikina .
Wanga huwa ni professional kabisa kwenye field yao hivyo ,unapopeleka hitaji lako kwa mganga ,kwamba unahitaji kumloga mtu ambaye si ndugu yako wa damu ,mganga lazima awatafute wanga .
Umeelewa sasa anawatafuta wanga ili waweze kumletea damu au nywele za mlengwa ili mganga aweze kutengeneza uchawi.
Kwa sasa hivi gharama ya kumkodi mwanga kuchukua nywele ni laki moja (kumbuka uchawi wa nywele ni wa low quality ),kuchukua damu kwa njia ya kuchanja ni laki tano. (Huu ndio superior na wa kudumu).
Hivyo achana na waganga matapeli ambao wanakudanganya wanaweza mfanyia mtu uchawi kwa elfu 50 au 30 .
Gharama ya kumloga mtu nikwambie tuu inarange 200,000 kwa uchawi wa low quality ,na 1000,000 kwa uchawi wa high quality.
Mwisho kumloga ndugu wako wa damu haina gharama sana inakost elfu 30 haizidi
Kumtoa kafara mama ni gharama maana mama yako siyo ndugu yako hivyo lazma uwe na million.
Kumloga ding au mdogo wako au mtoto wako huwa gharama zake ziko chini sana.
Mwisho nitoe rai tumtafute Mungu shetani yupo kweli .
Usikubali kufa kama mnyama