Ahhahahah daah binamu nimekumbuka enzi zile umeenda kulala kwenye msiba wa marehemu Adam Kuambiana, enzi za Lucy Komba na gauni lake la harusi utafikiri anapokea komunio. Kubwa kuliko enzi zako na Dina kuchambana na Matola; unachamba hadi unachanganyikiwa unajiquote mwenyewe unajichamba tena daah. Kuna siku ulipewa ban, tukaandamana kwa mods na #BRINGBACKWARUMI#, tulikukoma ulivyorudishwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Heshima yako binamu
Qmmke tena ME mbona unatuchanganya sasa,ule umbea wa kiwango cha STGR men wapi na wapiJinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
watu siku zote huamini neno la kwanza..tayari umesema wewe ni ME...Hata kesho ukibadilika ukasema we ni KE itakuwa haina nguvuHata mimi nahis hivyo , Lakini still nani ana uhakika kweli kama mimi ni ME? What if nadanganya[emoji16][emoji16]
I miss them those days dah, ilikua balaa, umbea ulikua moto moto si mchezo [emoji23][emoji23], hivi matola alifia wapi Jaman , Jamaa anachamba yule khaa
Hahahhaa asije akatokea hapa mkaanza tena ligi zenu. Haki mlijua kutupa raha
Hapana binamu nimebanana kidogoAhaha binamu Niko poa sana, umenisusa sana siku hiz
Hahahha ilibidi muungane sasa na Dina lakini wapi na yeye anakomaa tu mweehMatola alikua anatuenyesha, warumi na mdomo wangu wote pale nilifyata, Jamaa sijui lina downlidig wap matusi[emoji23][emoji23][emoji23], Lina maneno ya kukera aiseh sijawah kuona hapa JF[emoji23][emoji23], ila na sisi tulimvaa kidogo
Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Ni Usanii tu, sometimes inabid tu u flow na vile watu wanavyofikiri, huwa I donβt mind at all
Sawa sawa... Maisha ni kuchaguaMa fans wangu wengi ni wanawake, na umbea hili unoge lazima uwe na makash kash kidogo[emoji16]
Nimeitika mama mchungaji, hofu na mashaka ni juu yako wewe ulie mbali na macho yangu...ππ π π
Naomba nikusalimie Baba Mchungaji mana kwa namna nimecheka bila kukusalimia isingekuwa powa. π
Umegeuza jinsia yako lini?Mimi ni Dem Mkuu! Hujakosea! Niambie unataka nini?
Sasa yeye kaamua kunitukana nifanyaje Mkuu?Umegeuza jinsia yako lini?