warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #81
Ahhahahah daah binamu nimekumbuka enzi zile umeenda kulala kwenye msiba wa marehemu Adam Kuambiana, enzi za Lucy Komba na gauni lake la harusi utafikiri anapokea komunio. Kubwa kuliko enzi zako na Dina kuchambana na Matola; unachamba hadi unachanganyikiwa unajiquote mwenyewe unajichamba tena daah. Kuna siku ulipewa ban, tukaandamana kwa mods na #BRINGBACKWARUMI#, tulikukoma ulivyorudishwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Heshima yako binamu
I miss them those days dah, ilikua balaa, umbea ulikua moto moto si mchezo [emoji23][emoji23], hivi matola alifia wapi Jaman , Jamaa anachamba yule khaa