USM ALGER almanisura ishuke Daraja kama Malumo Giant. Kweli yanga ilicheza na timu mbovu ndio maana ilifungwa na Simba 2 -0

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
361571726_242540441946259_370596594353437770_n.jpg

Kombe la shirikisho limetawaliwa na Timu mbovu.

Almanusura BINGWA wa Looser Ashuke Daraja kwenye League KUU hoko Algeria.
 
Hivi ni sifa kila mtu aoneshe ujinga wake? Kwani kuuficha ina gharama gani?

Kuna mambo ukisha address kwa public utaishia kuaibika tu. Lengo ni kuisema Yanga imecheza na kibonde wakati hata timu yako ilishashiriki hayo mashindano mara kadhaa na haikufanikiwa kama Yanga. Sasa ujinga ni kuita mashindano ya loose while hayohayo mashindano yamekutoa kamasi na kufanya kulitia taifa aibu ya milele kwa ulozi na kila kitu.
 
Usisahau pia CR belouzidad nae nusura ashuke daraja ,lakini alifika robo fainali CAFCL
Raja aliekuua nje ndani nae hatashiriki hata shirikisho mwakani
Morocco bingwa ni FAR Rabat ,Ivory coast ulikosajili winga bingwa ni Asec Mimosas
Ajabu Sasa FAR na Asec Mimosas wote walitolewa na USM alger
Kwa hiyo hakuna justification,tafuteni kichaka kingine
 
Mpira upimwi kwa namna hiyo wigani ilicheza na man city fainal ya fa ikiwa imeshuka daraja, inter Milan wameingia fainal ya UEFA msimu uliopita wakiwa hawafanyi vizuri kwenye ligi yao ya Italia.Mechi za ligi zina mechi nyingi ni kama marathon inahitaji uwe na consistency performance nzuri kwa muda mrefu ukilinganisha na michezo ya mtoano so ni rahisi kwa team kuja na approach inayoendana na michezo husika
 
Usisahau pia CR belouzidad nae nusura ashuke daraja ,lakini alifika robo fainali CAFCL
Raja aliekuua nje ndani nae hatashiriki hata shirikisho mwakani
Morocco bingwa ni FAR Rabat ,Ivory coast ulikosajili winga bingwa ni Asec Mimosas
Ajabu Sasa FAR na Ivory coast wote walirolewa na USM alger
Kwa hiyo hakuna justification,tafuteni kichaka kingine
Thank you for this great post.
 
Hivi ni sifa kila mtu aoneshe ujinga wake? Kwani kuuficha ina gharama gani?

Kuna mambo ukisha address kwa public utaishia kuaibika tu. Lengo ni kuisema Yanga imecheza na kibonde wakati hata timu yako ilishashiriki hayo mashindano mara kadhaa na haikufanikiwa kama Yanga. Sasa ujinga ni kuita mashindano ya loose while hayohayo mashindano yamekutoa kamasi na kufanya kulitia taifa aibu ya milele kwa ulozi na kila kitu.

1. Inaonyesha Akili yako ni Ndogo sana.

2. Nimefundishwa.
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4

3. ALIYE anzisha kusema kombe la shirikisho ni kombe la looser ni Haji MANARA, aliitisha press akiwa na Waandishi kuyakandia mashindano ya CAFCC.
HAJI MANARA AKIWA AFISA UHAMASISHAJI YANGA KABLA HAJAFUNGIWA.

Nimejaribu KUKUJIBU kwa Hoja kidogo akili yako ifunguke.
Usitake kushindana na Kichwa kama hiki.

FIKICHA AKILI.
 
Mpira upimwi kwa namna hiyo wigani ilicheza na man city fainal ya fa ikiwa imeshuka daraja, inter Milan wameingia fainal ya UEFA msimu uliopita wakiwa hawafanyi vizuri kwenye ligi yao ya Italia.Mechi za ligi zina mechi nyingi ni kama marathon inahitaji uwe na consistency performance nzuri kwa muda mrefu ukilinganisha na michezo ya mtoano so ni rahisi kwa team kuja na approach inayoendana na michezo husika
Shukuru mlibahatika kupita kwenye uchochoro!! Usilinganishe inter milan na hizo marumo type za kushuka daraj!
 
Hivi ni sifa kila mtu aoneshe ujinga wake? Kwani kuuficha ina gharama gani?

Kuna mambo ukisha address kwa public utaishia kuaibika tu. Lengo ni kuisema Yanga imecheza na kibonde wakati hata timu yako ilishashiriki hayo mashindano mara kadhaa na haikufanikiwa kama Yanga. Sasa ujinga ni kuita mashindano ya loose while hayohayo mashindano yamekutoa kamasi na kufanya kulitia taifa aibu ya milele kwa ulozi na kila kitu.
Aliyeyaita ya loser ni haji manara semaji la yanga
 
CAF siyo wajinga , bingwa wa CAFCL kupewa mkwanja mrefu kuliko bingwa wa CAFcc .

Hicho tu tayari ni kigezo kinachoonyesha tofauti ya ukubwa wa haya mashindano mawili.

Kundi Moja haliwezi kuwa na timu kama vile Simba sc , Aly Ahly , Wydad , Raja , Mamelod , Esprens na kundi lingine likawa na timu kama vile Yanga , malumo , monanstri , Rivers , Fc Bamako , Mazembe ya sasa halafu ukasema hayo mashindano Yana uzito sawa ,labda kama unatumia uji kufikiri.

Hata Yanga wenyewe ukiwauliza ; Kabla ya hapo hizo timu za malumo , monanstri , ulikuwa unazifahamu ? Watakujibu hapana.Itoshe tu kusema mleta mada yuko sahihi. Ila sema Mashabiki wa hizi timu mbili huwa hawako tayar kukubali ukweli.
 
View attachment 2689737

Kombe la shirikisho limetawaliwa na Timu mbovu.

Almanusura BINGWA wa Looser Ashuke Daraja kwenye League KUU hoko Algeria.
Raja aliyekuchapa na kukuoa kabisa,kumbuka hatacheza CAFCL...
PIA KUMBUKA BINGWA WAO NI YULE ALIYETOLEWA KOMBE LA LOOSER...

Yaani ALIYETOLEWA KOMBE LA LOOSER NDIYE BINGWA wa ligi ya MOROCCO mbele ya waume zako WYDAD NA RAJA..

UPO HAPO WE KOLO WIZARD?
 
Back
Top Bottom