Na mshindi wa pili ashapatikana hapa ila kinachoenda kutafutwa kule ni mshindi wa pili kwa kipigo cha mabao mangapi?fainali ilishachezwa hapa Kule wanaenda kutafuta mshindi wa pili.
Kipi chanzo cha Furaha yako ya JanaJana nimefurah sana
Kipigo kilituliza keleleKipi chanzo cha Furaha yako ya Jana
Naomba wakifika Kule wakanyagwe mkurugenzi wa Air Tanzania atoe tamko ndege Ina hitilafu warudi na ndege za kukodi tu maana ni aibu.Na mshindi wa pili ashapatikana hapa ila kinachoenda kutafutwa kule ni mshindi wa pili kwa kipigo cha mabao mangapi?
Hicho ndio kitendawili ambacho watu bado wanahangaika kutoa na ndege za bure ili wakitegue
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia kuna mtu anasema watapindua meza, naomba niwakumbushe waarabu hawatumii meza wamakaa kwenye majamvi, sasa wanapinduaje jamvi na watu wamekalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada agiza safari ya bariiiidi napitia hapo kwa mangi kuja kulipaSimba itabaki kuwa timu kutoka ukanda wa Africa mashariki iliyoweza kuwafunga Wydad na kupata bao kwenye uwanja wao wa Mo 5...
Ngoja waje kina nalia na ngwena,Interlucustrine na wengineo wakubishieIli kuepuka aibu ushauri nendeni mkajilinde tu kama tulivyofanya Simba kwa wydad kama mkisema mcheze mpira aisee mnakunywa chuma nne au tatu.