USM ALGER ni Wagumu Sana Kwenye Uwanja Wao Wa Nyumbani

USM ALGER ni Wagumu Sana Kwenye Uwanja Wao Wa Nyumbani

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Niwakumbushe tu Wana utopolo katika michuano hii ya luza USM hawajapoteza mchezo wowote nyumbani kwao,

Na kingine timu yoyote iliyotembelea pale kwao imekula kuanzia goli 2 na ni timu moja tu iliyopata goli, yaani USM wameruhusu goli moja tu toka mwanzo mwa michuano hii


Mjipange vizuri mnaenda Gwantanamo Bay, Endeleeni kuwekeza kwenye midomo
IMG-20230528-WA0018.jpg
 
Uwanja wetu wa nyumbani hatuchezi soft kama kwenu kwa Mkapa tulivyocheza.

Kule tunafunga magoli hadi kwa mipira ya off target

Mashabiki wetu wana vibe, kule kwetu uwanjani viti havina kazi kwasababu hakuna mtu anayekaa.

Jana nimeona vitochi baadhi sasa mkija home vitochi vitaanzia kwa mashabiki wenu wale 300 wanaopanga kuja kwa ndege ya mseleleko kisha vitaenda mpaka kwa Diarra

Afu jana hali ya hewa huko kwenu ilikuwa ni nyuzi joto 25 tu, mkija home mtakutana na 19

Well mtasema mna experience ya baridi ya kule Tunnis lakini huku ni tofauti kidogo.
 
Magoli yote waliyofungwa yanga matatizo ni mabeki.. ipo hivi hata mchezo uliopita kule south beki za yanga ziliachia nafasi nyingi sana kwa wapinzani isipikuwa tu wapinzani ndo walikuwa wanapaisha na kukosa wao wenyewe!..
Nafikiri kunahitajika safu nzuri ya mabeki wafungaji tayari wanao pia lazima kuwe na ushirikiano wakutosha ktk timu nzima,nje na maelekezo ya kocha lazima wachezaji wawe na mbinu binafsi na mbinu za timu.. mpira unachezwa kwa akili,mwili,saikolojia,ulaghai.

Kama hawatafanya mabadiriko yoyote huko uwanja wa ugenini watarudi na jezi tupu then wajiandae kumkosa mayele hiyo ni washinde au wasishinde!
 
Na mshindi wa pili ashapatikana hapa ila kinachoenda kutafutwa kule ni mshindi wa pili kwa kipigo cha mabao mangapi?

Hicho ndio kitendawili ambacho watu bado wanahangaika kutoa na ndege za bure ili wakitegue
Naomba wakifika Kule wakanyagwe mkurugenzi wa Air Tanzania atoe tamko ndege Ina hitilafu warudi na ndege za kukodi tu maana ni aibu.
 
Nasikia kuna mtu anasema watapindua meza, naomba niwakumbushe waarabu hawatumii meza wamakaa kwenye majamvi, sasa wanapinduaje jamvi na watu wamekalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ili kuepuka aibu ushauri nendeni mkajilinde tu kama tulivyofanya Simba kwa wydad kama mkisema mcheze mpira aisee mnakunywa chuma nne au tatu.
 
Back
Top Bottom