Batachapika munoooUwanja wetu wa nyumbani hatuchezi soft kama kwenu kwa Mkapa tulivyocheza.
Kule tunafunga magoli hadi kwa mipira ya off target
Mashabiki wetu wana vibe, kule kwetu uwanjani viti havina kazi kwasababu hakuna mtu anayekaa.
Jana nimeona vitochi baadhi sasa mkija home vitochi vitaanzia kwa mashabiki wenu wale 300 wanaopanga kuja kwa ndege ya mseleleko kisha vitaenda mpaka kwa Diarra
Afu jana hali ya hewa huko kwenu ilikuwa ni nyuzi joto 25 tu, mkija home mtakutana na 19
Well mtasema mna experience ya baridi ya kule Tunnis lakini huku ni tofauti kidogo.
[emoji817]Record zipo Ili kuvunjwa na kuweka record zingine
Agiza mbili na Bavaria1Sinywi bia ndo shida rafiki...
Labda malta
Noted... ๐ ๐ ๐Agiza mbili na Bavaria1
Umekuwa mwarabu mara hii๐Uwanja wetu wa nyumbani hatuchezi soft kama kwenu kwa Mkapa tulivyocheza.
Kule tunafunga magoli hadi kwa mipira ya off target
Mashabiki wetu wana vibe, kule kwetu uwanjani viti havina kazi kwasababu hakuna mtu anayekaa.
Jana nimeona vitochi baadhi sasa mkija home vitochi vitaanzia kwa mashabiki wenu wale 300 wanaopanga kuja kwa ndege ya mseleleko kisha vitaenda mpaka kwa Diarra
Afu jana hali ya hewa huko kwenu ilikuwa ni nyuzi joto 25 tu, mkija home mtakutana na 19
Well mtasema mna experience ya baridi ya kule Tunnis lakini huku ni tofauti kidogo.
Amini usiamini Jana ndo ilikuwa fainalisasa tutaamini vp kama jana ilikuwa fainali
Umekuwa mwarabu mara hii๐
Tunazika wapi?Record zipo Ili kuvunjwa na kuweka record zingine