USM ALGER ni Wagumu Sana Kwenye Uwanja Wao Wa Nyumbani

Uwanja wetu wa nyumbani hatuchezi soft kama kwenu kwa Mkapa tulivyocheza.

Kule tunafunga magoli hadi kwa mipira ya off target

Mashabiki wetu wana vibe, kule kwetu uwanjani viti havina kazi kwasababu hakuna mtu anayekaa.

Jana nimeona vitochi baadhi sasa mkija home vitochi vitaanzia kwa mashabiki wenu wale 300 wanaopanga kuja kwa ndege ya mseleleko kisha vitaenda mpaka kwa Diarra

Afu jana hali ya hewa huko kwenu ilikuwa ni nyuzi joto 25 tu, mkija home mtakutana na 19

Well mtasema mna experience ya baridi ya kule Tunnis lakini huku ni tofauti kidogo.
Batachapika munooo
 
Umekuwa mwarabu mara hii😂
 
Umekuwa mwarabu mara hii😂
arabic-smile.gif
 
Sasa ndo mtajua nini maana ya TUMEKUFA KIUME.na lile kombe la tumekufa kiume tutawapa
 
Back
Top Bottom