Uso kwa Uso(Nikiwa Sober) na Mwanajamiiforums mwenzangu ambaye huwa ni Mpinzani wangu sana humu ndani

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Siku ya leo imekuwa moja ya siku njema kwangu. Nikiwa katika shughuli zangu za kikazi nlifika katika ofisi moja kuonana na Mkurugenzi wa kampun flan. Nikiwa nimekaa Sehemu ya wageni nliamua kuchukua simu yangu kuingia jamiiforums kwa ajili ya kuweza kusoma na ku comment mambo mawili matatu. Pembeni yangu alikuwepo kijana mmoja nadhifu pia ametulia. Kumbe wakati naendelea kupost JF naye allikuwa akipepesa pepesa macho na ikatokea yakaja kutua kwenye screen yangu. Kijana uzalendo ukamshinda na kaamua kunisamilia “Habari za saa hizi Bro” nlimjibu kwa utulivu. Akanambia “ Samahani naweza kuuliza? “ nikamruhusu aulize.

“wewe ndo gudume?” nlishtuka kidogo kwa kuwa hakukuwa na mtu yeyote anayefaham kuwa mimi ni gudume si ndugu si rafiki. Nikamuuliza kwani vipi? Akajibu “kuna bro mmoja jamiiforums anajiita gudume nliona kama unacomment kwa kutumia ID yake” nikamjibu mimi ndiye. Tuliamka na kukumbatiana kama vile ni marafiki wa muda mrefu waliopotezana na leo wamekutana. Kwa furaha kabisa.

Nlimaliza mambo yangu na kurudi nikamkuta akiwa pale kwenye sofa nikamwomba kama hatojali na ana muda twende wote tukapate lunch.inaonekana naye alikuwa amemaliza lililomleta hakufanya hiyana. Pamoja tukaenda kupata lunch tukipiga stories mbalimbali na visa na mikasa ya jamiiforums.

Hakusita kuelezea mshangao wake.. na kwa kushindwa kuamini kabisa alisema pengine si mimi maana ni mtu tofauti sana na wa JF (alikuwa na bahati kunikuta sober sijavuta mabhangi yangu na kunywa gongo ya mchanganyiko wa Petrol,JIK,Maji ya Battery, Hydrolic,Viroba na sabuni ya OMO) Na kunitaka nimkumbushe visa na mikasa miwili mitatu.tuliongea na kucheka sana. Kiuhalisia hata yeye alikuwa anaonekana ni kijana mstaarabu na si mwenye matusi kama anavyoonekana humu JF. Tukaishia kupeana namba za simu na tukaagana kwa Amani na upendo.

Wadau tuishi kwa Amani na Upendo. Tunayokutana nayo huku yaishie huku huku tu. Tunapokutana nje tuwe watu wenye Amani ,furaha na upendo.tusibebe chuki au hasira za humu ndani na kuhamishia katika maisha halisi.

Nmefurah sana kwa tukio hilo na naomba tuzidi kushirikiana
 
Aisee, mtaje jina la ID yake basi,

Nimechukua nafasi ya Joseverest kwa muda
 
Sawa mkuu limekuelewa sana kuna maisha nje ya jf
 
Alijuaje ww ni Gudume alichungulia wakati una comment

ama unataka kutuambia ww wa humu na kitaa ni watu

wawili tofauti
 
Hahaaaa. Gudume ukija leo hivi basi kesho unakuja vile.

Nakumbuka mwaka juzi nilishawahi kaa siti moja kwenye daladala na kijana mmoja ila baada ya kumuona anaperuzi jf nikajikuta natamani hata niongee naye ila nikashindwa halafu shida iliyokuja sina tabia ya kupiga chabo simu za watu maana ningeona hadi id yake.
 
Siku ya leo imekuwa moja ya siku njema kwangu. Nikiwa katika shughuli zangu za kikazi nlifika katika ofisi moja kuonana na Mkurugenzi wa kampun flan. Nikiwa nimekaa Sehemu ya wageni nliamua kuchukua simu yangu kuingia jamiiforums kwa ajili ya kuweza kusoma na ku comment mambo mawili matatu. Pembeni yangu alikuwepo kijana mmoja nadhifu pia ametulia. Kumbe wakati naendelea kupost JF naye allikuwa akipepesa pepesa macho na ikatokea yakaja kutua kwenye screen yangu. Kijana uzalendo ukamshinda na kaamua kunisamilia “Habari za saa hizi Bro” nlimjibu kwa utulivu. Akanambia “ Samahani naweza kuuliza? “ nikamruhusu aulize.

“wewe ndo gudume?” nlishtuka kidogo kwa kuwa hakukuwa na mtu yeyote anayefaham kuwa mimi ni gudume si ndugu si rafiki. Nikamuuliza kwani vipi? Akajibu “kuna bro mmoja jamiiforums anajiita gudume nliona kama unacomment kwa kutumia ID yake” nikamjibu mimi ndiye. Tuliamka na kukumbatiana kama vile ni marafiki wa muda mrefu waliopotezana na leo wamekutana. Kwa furaha kabisa.

Nlimaliza mambo yangu na kurudi nikamkuta akiwa pale kwenye sofa nikamwomba kama hatojali na ana muda twende wote tukapate lunch.inaonekana naye alikuwa amemaliza lililomleta hakufanya hiyana. Pamoja tukaenda kupata lunch tukipiga stories mbalimbali na visa na mikasa ya jamiiforums.

Hakusita kuelezea mshangao wake.. na kwa kushindwa kuamini kabisa alisema pengine si mimi maana ni mtu tofauti sana na wa JF (alikuwa na bahati kunikuta sober sijavuta mabhangi yangu na kunywa gongo ya mchanganyiko wa Petrol,JIK,Maji ya Battery, Hydrolic,Viroba na sabuni ya OMO) Na kunitaka nimkumbushe visa na mikasa miwili mitatu.tuliongea na kucheka sana. Kiuhalisia hata yeye alikuwa anaonekana ni kijana mstaarabu na si mwenye matusi kama anavyoonekana humu JF. Tukaishia kupeana namba za simu na tukaagana kwa Amani na upendo.

Wadau tuishi kwa Amani na Upendo. Tunayokutana nayo huku yaishie huku huku tu. Tunapokutana nje tuwe watu wenye Amani ,furaha na upendo.tusibebe chuki au hasira za humu ndani na kuhamishia katika maisha halisi.

Nmefurah sana kwa tukio hilo na naomba tuzidi kushirikiana
Hah hah hah.....

Kama wabunge wa CCM na UKAWA vile wakiwa bungeni maadui ila mifahawani na kwenye viti virefu ni maselaa balaa
 
tumetofautiana mkuu,mi kuna watu humu siku nikikutana nao lazma watanitambua vizuri,yani nawatamani ***** zao[emoji35]
 
kuna maisha mengine ndugu yangu.. humu hata umri wetu hatujuani vizuri lakini tukija kutana ndo tunagundua kumbe wengine ni watu wazima. kumbe wengine ni wahuni au wastaarabu n.k ila kuna maisha zaidi ya humu. huko nje ndo kuna maisha halisi. ni vyema tukapendana na kuheshimiana.

GuDume kamanda safi sana maana vijana bado hawamini.
 
ungemsemesha tu. ila sasa nmejifunza kuwa makini sana public.. maana sometime sisi wengine tunajisahau tukiingia jukwaa la siasa tunatema nyongo... bora tuwe tunashinda huku huku tu... sema ukikaa sena sehemu kama hizi akili zinaanza kuwasha..maana zinakuwa kama hazitumiki sana... anyway ungemsalimia mfahamiane maana nakujua wewe si mtu wa majanga.sisi wengine wahuni na wakorofi ndo hatupendi kufahamika.

Hahaaaa. Gudume ukija leo hivi basi kesho unakuja vile.

Nakumbuka mwaka juzi nilishawahi kaa siti moja kwenye daladala na kijana mmoja ila baada ya kumuona anaperuzi jf nikajikuta natamani hata niongee naye ila nikashindwa halafu shida iliyokuja sina tabia ya kupiga chabo simu za watu maana ningeona hadi id yake.
 
ha h aha ha.. sometime uwe unawadharu tu unaachana nao... ila kama una watamani kwa mema sikukatazi ku deal nao. kuna mabint wawil watatu wazuri wapo humu na wana heshima walipata malezi mazuri. achana na wale manungayembe hayo yamo pia yanatembeza tembeza macho kuchokoza wanaume ili yakawaunge kwenye makundi yao ya kihuni huko..hayo unaya dharau tu.

tumetofautiana mkuu,mi kuna watu humu siku nikikutana nao lazma watanitambua vizuri,yani nawatamani ***** zao[emoji35]
 
yani sikuiyo lazma patachimbika
b49bb7c2d990cdae7cb0eb5795891597.jpg
 
Back
Top Bottom