Hapa naona kuna ushauri wa kutumia vitu natural kabisa ambao nauunga mkono, ila naongezea kuhusu maji.
Kunywa Maji ya kutosha, kuna tabia ya watu wengi kutopenda kunywa maji, maji yanasaidia mno kulainisha ngozi, unakuta mdada ana ngozi laini ambayo imeharibiwa na kutokunywa maji, kunywa maji ya kutosha kwa siku, kama kwako ni tatizo jaribu kuwa na glass ya maji kila unapokuwa, hakikisha tu zinafika lita 5 per day......yeah ni ngumu basi angalau 4.
Piga maji ya kutosha hadi ukiingia kukojoa unaona kojo safiiiiiiiii, daily. Then in one week pamoja na ushauri wa vitu natural in a week, rudi hapa JF toa matokeo