Usomaji wa chuo kikuu

Ofisi yetu ina mtu ana GPA ya 4.5 na Kuna mwenye 2.9 na Kuna sisi tuna za 3.2...

Ila wotee mshahara mmoja, posho ile ile.

Sasa huyu alisomaa weee akasahau na starehe nyengine ila salary slip zinafanana..!!!

#YNWA
Pia unaweza ukawa una GPA ya 4 alafu ukazidiwa na utendaji kazi na MTU mwenye ya 2

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hakika kama wewe ni mwalimu basi utakuwa mwalimu Bora sana

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Safi saana wakumbushe tu kwamba kwenye discussion unatakiwa nawe uchangie ili uwe kama unamfundisha mtu.na ukimfundisha mtu kitu kinakaa haswa.

Hivyo ukiwa unaskiliza tuu discussion basi jua yule munayemsikiliza akisomesha ndio anapata faida zaidi na atakuwa anakumbuka mambo sana kuliko nyie wasikilizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…