Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Logical non sequitur.Majibu yote yapo humo 👆👆👆 moja wapo ni kiunganishi.
Pia
Kuto kuthibitika kwa haya mambo katika ilimwengu wa kimwili haimaanishi kwamba mambo hayo hayapo..! La! Mambo hayo yapo sema wewe binafsi hujataka kuyafahamu... na uwezo huo umepewa, kila mtu anao ila hatuutumii(hatuamini)
Narudia tena uwezo huo upo na kila mtu anao pasipokujali dini yake, anaendaga ibadani au hua haendi, shida inakuja ni mhusika hajataka kuutumia kwa kufuata kanuni.
Sasa kazi ni kwako kama unataka na wewe kufahamu,,, kwasababu nitakutofautishiaje rangi ya blue na nyekundu ilihali wewe ni kipofu tokea unazaliwa hujawahi ona chochote. Hutanielewa kamwe!. Na kwa kutumia kanuni/ufahamu wa elimu (sayansi) ndio utaona nimechanganyikiwa kabisa.
Sasa nakushauri usifikie hitimisho kwa jambo lolote ambalo Huna uzoefu nalo.
Elimu haina mwisho kila siku tunajifunza vitu vipya unaweza ukajifuza kitu kipya hata ukiwa na miaka 99.
Haya mambo ya imani ya hukulie kama changamoto mpya kwako mwaka huu... uipatie ufumbuzi, kwa lengo la kijifunza zaidi. kama una nia njia huwezi kukosa.
Hujathibitisha ulimwengu usio onekana upo ila unadai tu upo.