Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

ngoja nikae pemben ili niusome mchezo vizuri.hii thread ya huyu jamaa inahitaji watu wa aina kama yake
 
Ujinga mtupu...Midanganyika bwana yaani hamuachi UDINI kwa kuandika Upupu kama huu? mnatia kinyaa na aibu kubwa hata kwa jinsi mlivyoelimika.

Ujinga ulioandikwa au ujinga wenu kukubali aliyeandikwa kuwa msomi wakati hana degree hata moja? Unanshangaza!
 


Mchango wa maandamano na kupelekea watu kuuliwa? mchango wa ile kitu nyingine kwenye jamii? come-on lets be real for once please.
 
Dr Kigwangala simlaumu kwa alichoandika, field supervisor wangu wakati nasoma ni msomi wa uzamivu, kasoma Ulaya mashariki enzi hizo na haoneshi kuwa ana masterz, niliwahi kumuuliza ni kwanni, jibu ni kama ambalo limetolewa na wadau kuwa mifumo ya kielimu inatofautiana sana na si wote wanafuata mfumo wa UK, ukweli unabaki kuwa dr Slaa ni msomi aliyezamia katika canon law, kigwangala ni medical dokta na JK sio dokta wa kusomea, udokta wa jk hata viongozi wa deci wanaweza kupewa
 
Mimi napenda kuchangia masomo ambayo yanayofundishwa mtu akienda kusoma falsafa na teolojia: Zamani masomo ya falsafa yalikuwa miaka miwili na teolojia miaka 3. Siku hizi ni miaka mitatu mitatu na vyuo vingine teolojia ni miaka minne:

1. Kwenye Falsafa: Masomo yanayosomwa ni pamoja na - A History of Philosophy (from poets Hesiod & Homer to contemporary philosphers including Mwalimu Julius Nyerere etc), Philosophy of Religion, Ontology (Metaphysics), Epistemology, Logic and Language, Philosophy of Sciences, Theodicy, Moral Philosophy (+ moral dilemmas: genetic engeering, human cloning, contraceptives, abortion, masturbation, suicide, homosexuality, HIV/Aids, euthanasia (mercy killing), just war, civil disbedience, etc), Philosophical Anthropology, Social and Political Philosophy and Psychology.

Katika baadhi ya vyuo anayemaliza masomo haya anapata degree ya kwanza (yaani BA in Philosophy). Zamani kwa hapa Tanzania, maaskofu hawakuwa tayari wahitimu wapate degree kwa vile waliona hawahitaji, hivyo vyuo vingi vya falsafa na teolojia walikuwa wanapata certificate au diploma ingawa hapakuwa na sababu za msingi za wahitimu kutopata degree.

2. Masomo ya teolojia ni miaka 3 na vyuo vingine ni 4: Baadhi ya masomo yake ni Revelation, Theology of Missionary Ministry, Human growth and Development, Social and Cultural Anthropology, Social and Political Ethics, Christian Initiation and the Eucharist, Pastoral Psychology, African Traditional Religions, Canon Law Introduction & Canon Law of Marriage, The Letters of St John, Paul & the Hebrews, Sexual Ethics and Marriage, Liturgical Presidency and Preaching (Public Speaking), Pastoral Care of the Sick, Christian Anthropology, Liturgical Celebration and Sacraments, Fundamental Moral Theology (+ Bioethics), Christology and Trinity, Synoptics, Acts and Catholic Epistles, Theology of World Religions, Church and Ministry, Contextual Theologies, Reconciliation.

Kwa baadhi ya vyuo anayemaliza masomo haya anapata BA au MA kulingana na chuo alichosoma. Ingawa hayo masomo ni basic baadhi ya vyuo vinaongeza masomo mengine. Lakini padre anayehitimu teolojia kwa wastani anakuwa amepitia masomo hayo juu. Na wanaoendelea na masomo ya juu wanaweza ku'specialise' katika masomo wanayochagua kulingana na mahitaji ya utume wao. Labda swali tunaloweza kuuliza ni kwa mfano: mtu aliyesoma UDSM au Chuo Kikuu chochote anamzidi nini Dr Slaa ambaye basically (kabla ya kusoma Canon Law) alipitia masomo kama hayo juu? Nijuavyo mimi anayesoma Canon Law anasoma sambamba na Civil Law. Hivyo, canon lawyer anakuwa amebobea zaidi ya just a lawyer (kwa sababu walau anajua ya pande mbili - canon law and civil law) wakati a civil lawyer anajua tu sheria za nchi.
 
<br />
<br />
Usisahau kuhoj na jk ana watoto wangapi nje ya ndoa. mzee makamba kwa nini alimtelekeza yule mtoto wa shule ya msingi alipokuwa mwalimu wa shule ya msingi kule mwandiga- kigoma
 
You are so much deprived of logic and arguments that I pity you. Kwani nisingekuwa Mbunge kuna mtu angenizuia kutoa maoni yangu?<br />
Nenda darasani ukasome haki za binadamu, flasafa na mantiki vitakusaidia kidogo!
<br />
<br />
Unasound kama mtoto wa darasa la saba
 
.......................

Hamis clean your bad history of using names that are not yours. Secondly, you were good in peeping during exams from CPL to MPL, and MD3 Lecture theatres, are you proud of that bad character?


Mkuu, asante for this useful information..... kumbe this s.o.b is just another fraud !!

Ok, wewe unayejiita you are an "academic" .............. jibu hizo hoja zilizoelekezwa kwako na watu wanaokufahamu.
Unachekesha kwelikweli ... eti unandika jina na mwisho unaweka MBA !! haa haa haa , ulimbukeni utawamaliza.
 
Binafsi sioni kama kuna tija katika kuangalia ubora wa Phd ya Dr Slaa. Wananchi walio wengi wanamkubali Dr Slaa sii kwa sababu yeye ni Dokta ila kwa kuwa ameonyesha uwezo mkubwa wa kutambua na kutatua shida lukuki zinazoikabili Tanzania. Kama huamini nenda tafuta Historia ya Karatu kabla Dr Slaa hajawa Mbunge, halafu ufananishe na sasa. Hilo ni moja, lakini pia kaangalie utendaji wa Dr. Slaa bungeni katika kutetea maslahi ya Taifa halafu ukafananishe na madokta wengine waliopo Bungeni, akiwemo huyo anayejaribubu kupekua usomi wa Dr slaa badala ya kushughulika na matatizo yanayozidi kuangamiza Tanzania. Jibu unalo. Mwisho, tukimfananisha huyu Dr wa ukweli, na yule Dokta wetu mwingine... ambaye hata hajui ni kwa nini wananchi wake ni Maskini, hapo tumefunga kazi. Dr Slaa ndiye aliyeibua hadharani orodha ya magamba amboyo hadi sasa, huyo dr mwingine ana haha kuyavua. Ni dr Slaa huyo huyo ndiye aliyemshtua Dr huyu mwingine kwamba alikuwa amessign wrong version ya sheria ya ghrama za uchaguzi. Jamani, tuache hizi siasa za "character assassination". Tujikite zaidi kwenye kutafuta mwarobaini wa shida zetu. Cha msingi ni kwamba, Dr slaa ana elimu, uzoefu na dhamira ya kweli ya kuiendeleza nchi yetu.
 
It seems Mugoyangi is ignorant and he doesn't deserve to be a member of JF!!!!! He/she can't be in this forum if he doesn't know that people like Dr Slaa are learned! Theology is a queen of all sciences according to history. Thus Dr Slaa is a learned person and thats why he stands for truth and those who mock him are doing so because they are of shallow mind!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hili ni rahisi sana kujibu lakini nitalijibu kwa namna ya Socrates kidogo. Sijui kama watu wamewahi kumsikia Prof. Juma Mikidadi ambaye ni Mhadhiri Chuo Kikuu na amewahi kuwa Mbunge. Hivi karibuni alizindua kitabu chake kiitwacho "Tarehe ipi Sahihi?" Naomba mtu atusaidia kuhusu elimu ya Prof. Mikidadi; alisomea digrii ya kwanza wapi, na PhD yake aliipata kuhusiana na masomo gani?

Ni Swali ambalo najua jibu lake.
 
Huyu jamaa kama elimu ya Madrasat, hebu atujuze kama anamjua dajali, au ndiye ayemtumikia?
 

Ndugu wanaJF, tatizo ninaloona kuhusu baadhi ya wachangiaji wanaosema Dr Slaa ana "digrii ya dini au Kanisa" hawajui ni nini kinachofundishwa huko Seminari Kuu (Major Seminary) – Falsafa na Teolojia ya Kanisa Katoliki. Hivyo, ‘they are arguing from ignorance’ and look stupid when they think they know while they don’t. Wengi wanadhani ukienda kusoma falsafa au teolojia basi unaenda kusoma Biblia tu – yaani kukariri toka mwanzo hadi mwisho! Lakini hata wale wanaosomea Biblical scholars (not theologians) siyo tu kwamba wanasoma Biblia kwa kuikariri bali kuichambua kisayansi na ili wafanye hivyo lazima wajifunze lugha za zamani (e.g. Aramaic, Hebrew, Greek, Latin), historia (world history & Church history), geography and archaeology (pamoja na masomo megine). Actually, wengine anafikiri theology is the same as religious education. Theology is a scientific study of the relationship between God, human beings and the universe usingthe tools of natural and social sciences. God, human beings and the universe are are also the main elements of philosophy. Hapa chini nimeweza kuchukua somo moja la Moral Theology ambalo ni core subject katika teolojia na kila padre lazima alisome na kujaribu kuonesha ni kitu gani kinachofundishwa kwenye somo hilo ili tunapochangia tuwe tunajua tukisema fulani ni padre anakuwa ni mtu mwenye uelewa wa namna gani. Naomba mwenye nafasi apitie kwa uangalifu ili wakati tunachangia kuhusu hao tunaowaita “Wenye degree za dini au Kanisa” tujue wana kitu gani kichwani halafu tujilinganishe na sisi tunaodhani tukisoma kwenye secular universities tunawazidi. Naomba atakayetaka ani‘challenge’ kwa mchango wangu huu. Hapa nimechukua somo moja tu.

Fundamental Moral Theology (+ bio-ethics, medical ethics)

Contents

  1. The principles of bioethics

Introduction: Fundamental concepts of life
1.1 Respect for life
1.1.1 The secular point of view
1.1.2 The magesterium’s teaching on respect for life
1.1.3 Evaluating an absolute respect for life
1.1.4 The term “quality of life”
i) Quality of life and parenthood: The value of physical life
ii) Quality of life and burden/benefit
iii) Quality of life and withdrawing: Withdrawing or providing treatment

1.2 Respect for self or autonomy
1.3 The interpretation of life: basic principles
a. Fundamental preoccupations concerning judgement
i) In accord with nature
ii) With accord with the human person
b. Fundamental errors concerning judgement
c. The principle of totality
d. The principle of risk
e. The principle of ordinary (normal) and extraordinary (artificial) means
I) The key ideas of the first phase of the debate
II) Application of the four key ideas
· What a prudent man would consider as a serious risk and therefore morally excusable
· Obligation to preserve life
· Prolongation of life by heroic or radical measures
· Meaning and use of quality of life judgements
i) The decision to treat based on the burden of treatment
ii) The decision to treat based on the human results of treatment
iii) The magisterium’s use of the key ideas
· To initiate treatment
· To discontinue treatment
iv) Ordinary means as useful treatment
f. The principle of double effect
(1) The object of the action must be right or indifferent in itself; it cannot be intrinsically evil
(2) The wrong effect, though foreseen, cannot be intended
(3) The wrong effect cannot be the means to the right effect
(4) There must be proportionate reason for allowing the wrong effect to occur

· Deontological interpretation of the double effect principle
· Proportionalist interpretation

Five conditions for determining whether there is a proportionate reason:
(1) There is an irreducible conflict of values
(2) There is an obligation to act in the present
(3) The means are ontologically proportioned to the protection of the obligatory predominating value that is strictly and ontologically necessary
(4) Among the means one must choose the least harmful that is the best calculated to protect the values
(5) The action does not amount to denial of values on at a universal level
· Teleological interpretation


1.4 The interpretation of life – The tradition of the Church
a. In Jewish and early Christianity
b. The distinction of formed and unformed
c. The problem of the unjust aggressor theory
d. The position of the modern magisterium
i) Teaching based on the natural law of Neo-Scholasticism
ii) Teaching based of the dignity of humankind
iii) Teaching based on a sanctified human anthropology

1.5 The interpretation of life: Human genetics and embryology
· Hydatidiform moles
· Zygote’s requirement for maternal cytoplasm
· Totipotentiality of the cells during the zygote’s early cleavages (genetic identity of the zygote)
1.6 The interpretation of life: Philosophical concepts
· Relationship to becoming or longitudinal concepts of potentiality
· The significance of certain properties (eg. The beginning of brain waves)


  1. Moral dilemmas at the beginning of life
2.1 Human experimentation
  1. Therapeutic experimentation
· Reasonable hope of success
· There must be an equal possible benefit for the patient to compensate for the risks run
  1. Non-therapeutic experimentation

2.2 Genetic control
2.2.1 Genetic engineering
2.2.2 The use of genetic screening
2.2.3 Cloning

2.3 Infertility and assisted fertilisation

+ These problems have produced various solutions to infertility

· Artificial insemination by husband (AIH)
· Artificial insemination by donor (AID)
· In vitro fertilisation (IVF)
· Gamete interfallopian transfer (GIFT)
· Pronuclear stage tubal transfer (PROST) & tubal embryo transfer (TEST)
· Intrauterine insemination (IUI)
· Intracytoplasmic sperm injection (ICSI)

+ The moral debate
i. The nature of human parenthood
a. The right of a couple to have a child
b. The personal interpretation of procreation
c. The physical interpretation of procreation
d. The motivation of assisted procreation
e. The questions concerning the procedure


2.4 Sterilisation
2.5 Abortion
a) Responsibility approach
b) The dignity of a person
c) Therapeutic abortion

  1. Ethics at the end of life
3.1 The Biblical and theological concept of death
3.2 The clinical and philosophical concept of death
· Irreversible coma
· Whole brain death
· Brainstem death
· The debate beyond clinical observation

3.3 The care of the irreversibly ill
a) The psychological process of dying
b) Application of the principles to the care of the terminally ill
i) The dying are only required to prolong life by appropriate means (the patient must be kept alive as long as possible even by using life support machines)
ii) The right to information increases with the risk the patient runs
c) Christian death (death for each of us must be faith-filled as well as fully human)

3.4 Self killing – suicide and euthanasia
i) Tradition (Plato and the Neo-Platonists, Aristotle, Stoics, Hume, Nieazesche, Kant, Heideggar, Satre, Christian tradition: Justin, Clement of Alexandria, Origen and Augustine, Council of Carthage, Thomas, Vatican II)

ii)The heroic sacrifice of life
· Authorised by society
· Authorised by God
· Active and passive sacrifice of one’s life
· Subjective incapability
· The 1982 debate (death resulting from hunger strike)
· The proportionate reason
· The intention to continue until death
· Some consider hunger strike as a ‘non-violent protest’

iii) Euthanasia
a. Passive euthanasia
b. Active euthanasia
c. Voluntary euthanasia

iv) Positive rejection of euthanasia
 
<br />
<br />
inabdi huyu mbunge wa nzega ajibu hoja zinazoelekezwa kwake kuna thread ilishawekwa hapa na ndugu bashe akimtuhumu alitumia jina la mwanafunzi mwingne aliyefaulu darasa la saba inasemekana huyo hamis yupo nzega town sijui kigwa kama uwa anampatia japo vijsenti vya kusukuma maisha.ajibu hoja asikimbie kihiyo mzee wa madesa hadi chuo teh teh teh! Hadi ubunge kutoka 3 hadi akachaguliwa yeye khaaa!
 

hata mimi bado nasubiri majibu yake kuhusu wizi wa jina aliofanyiwa na mama yake
 

Kigwangala ulitaka asomee mambo gani. wakatoliki wan a standard zao za elimu and surely they are not below any imagination of standards. We unachotaka ni western standards in routine academic path. hata kama madrasa yangekuwa yanajikita hata kidogo kwenye elimu DUNIA, then it will be OK. Lakini Dr. Slaa amepitia normal schooling chanels mpaka hapo alipomua kwenda kwenye fani yake ya dini. Sioni tatizo. Ndio maana wawakilishi wa Pope wanakuwa wasomi wazuri kuwana hadhi ya kuiwakilisha Vatican.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…