Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

Vyuo vya Roman Catholic vilivyopo Roma vinaheshimu sana elimu ya Philosophy na Theology. Ukimaliza Theology ni zaidi ya Masters Degree na unaweza kusoma PhD katika vyuo vya Roman Catholic. Na degree za vyuo hivyo zinaheshimika duniani kote. Wewe Kigwangala huwezi kusimama na mtu aliyesoma Urbaniana University ukasema eti na wewe ni msomi. Acha kabisa! Hebu uliza uambiwe, usiwe unakurupuka. Hebu kwanza tupe maelezo kuhusu kisa chako cha kuiba jina la mtu mwingine baada ya kufeli darasa la saba. Tena umejileta, ngoja tuanze kufuatilia rasmi background yako.
 
umechokoza interest za watu bro,Au unafanya research kujua namna mtandao huu ulivyotekwa?
 
kuna mdau ameniuliza slaa ana shahada ya kwanza ya chuo kikuu? nikakosa jibu
akaniuliza tena: slaa ana masters? nikakosa jibu
akaniuliza: mtu anaweza kupata phd (isiyo honorary) bila ya kuwa na masters degree? nikakaa kimya
akaniuliza: cheo cha udokta amekipata wapi slaa hadi aitwe dr slaa? nikaguna
akaniuliza: unajua kuwa slaa phd yake ni ya kidini (canon law) nikamuambia kuwa mi nilidhani ni ya masomo mengine. kumbe ni ya kidini!?

akanirushia hizi data na mimi nimeona bora mnisaidie kujibu hayo maswali hapo juu!

Dr. Wilbrod P. Slaa (CV)

EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

JAMAA HANA MASTERs DEGREE katika CV yake aliwezaje kupewa HONORARY PhD..?
CHADEMA=CHAMA CHA DEGREE ZA MAGUMASHI.

Jamani kuondoa utata huu tusaidieni kutuwekea chuo alichosomea MASTERS na PhD.


Pumba FM, Rubbish at work
 
jamii forum imeingiliwa na wendawazimu....kila mda ni upuuz tuu...
 
Hivi Thata wewe ni mwanamke au mwanaume? Samahani lakini
 
Angalia usirukwe akili kwa kutamani elimu za watu ..nenda darasani .kama huna shekeli sema tukuchangie.
 
Masters ya braza JK aliipatia wapi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Inaelekea wewe ni mbumbumbu ni sawa na jamaa zako wanaosema mitaala ipo wakati hakuna. Kuna nhi nyingi tu duniani wana namna ya kutoa elimu yao kufuatana na mahitaji ya nchi na hasa mitaala. Iliyokuwa USSR wao ukiigia university ni moja kwa moja unapata master degree vilevile ujerumani, italy nk hivyo sishangai kupata PhD BILA KUSOMA MASTER
 
We ndo mburula kweli, Dr. Slaa amesoma PHD for five years, katika vyuo vingi vya Spain na Italy mtu mwenye Advace Diploma au Degree anahitatika kusoma PHD for not less than five years. ,
angalia CV ya mkuu wa idara ya Engeneering hapa Makerere halafu uniambie alisoma masters wapi, you are just an intelectula lightweight and a political Dwarf who cant see beyond your flat Nose.

[h=2]Julius Butime's Education[/h]
[h=3]Universidad de Navarra[/h][h=4]Doctor of Philosophy (PhD), Electrical Engineering[/h]2003 – 2007

[h=3]Makerere University[/h][h=4]BSc. Elec, Electrical Engineering[/h]1999 – 2003
Activities and Societies: Tennis captain, Impis rugby club player, St. Mary's College Old Boys association

[h=3]St. Mary's College, Kisubi[/h][h=4][/h]1993 – 1998
 
Inaelekea wewe ni mbumbumbu ni sawa na jamaa zako wanaosema mitaala ipo wakati hakuna. Kuna nhi nyingi tu duniani wana namna ya kutoa elimu yao kufuatana na mahitaji ya nchi na hasa mitaala. Iliyokuwa USSR wao ukiigia university ni moja kwa moja unapata master degree vilevile ujerumani, italy nk hivyo sishangai kupata PhD BILA KUSOMA MASTER
Hata hapa kwetu ipo angalia hawa Maprofessors hawana masters but wana PhDs na ni Professors
  1. Head of Department: Prof Flora M Fabian Taylor, DDS, PhD (Japan); Professor.
  2. Prof. Ainory P Gesase, DDs, PhD (Japan); Visiting Professor
DDS ni Doctor of dental surgery then PhD.
 
Prof. Ntogwisagu, MD, PhD (London); Professor, bado unahitaji ushahidi wa PhD without masters, mods do the needful to this thread!!!
 
kaulizane haya maswali na babako, huenda ana majibu!
nadhani huyo jamaa hajui hata mpaka mtu aitwe padre wanatumia vigezo gani.mwanzo mwisho ni seminary na universty za ukweli...hawa sio hao wa kwenu wa uamshoo..ukimua binadamu mwenzio utaona pepo no..jipange wakati unatuma haya makitu....................
 
Naona kujibu sera na hoja tumeshindwa sasa tunapita ktk CV za watu tuuuu. Siwezi kushangaa sana.
 
Back
Top Bottom