Vyuo vya Roman Catholic vilivyopo Roma vinaheshimu sana elimu ya Philosophy na Theology. Ukimaliza Theology ni zaidi ya Masters Degree na unaweza kusoma PhD katika vyuo vya Roman Catholic. Na degree za vyuo hivyo zinaheshimika duniani kote. Wewe Kigwangala huwezi kusimama na mtu aliyesoma Urbaniana University ukasema eti na wewe ni msomi. Acha kabisa! Hebu uliza uambiwe, usiwe unakurupuka. Hebu kwanza tupe maelezo kuhusu kisa chako cha kuiba jina la mtu mwingine baada ya kufeli darasa la saba. Tena umejileta, ngoja tuanze kufuatilia rasmi background yako.

