Umemaliza kila kitu mwenye akili amuangalie vizuri tu huyo ostaadh me nimekuja mbio nikajua maostaadh wetu wa Jf nikasema nani ataitetea Hezbolah kumbe hao majamaa bhana
Mwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Musa amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?.Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama?
Mtoa mada alichelewa kuja mjini hiyo video ya kitambo sana , yeye ndio kaona Leo na kaipost kama mpya au mtoa mada ni miaka 17 kipindi linatokea hilo tukio hakuwa na simu janja