Ustaadh ajifanya Daktari na kutapeli wagonjwa Muhimbili

Ustaadh ajifanya Daktari na kutapeli wagonjwa Muhimbili

Mwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Musa amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?.Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama?

Prof Janabi dhibiti Hawa kama uhusiki
Mtoa mada alichelewa kuja mjini hiyo video ya kitambo sana , yeye ndio kaona Leo na kaipost kama mpya au mtoa mada ni miaka 17 kipindi linatokea hilo tukio hakuwa na simu janja
 
Huyu huenda wala si Ustaadh.
Wangemuambia asome 'alkursiyu' muone kama hajatimua mbio.
 
Back
Top Bottom