Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri atakubali akihojiwa? Kama amezisikia ndio hivyo mtu wako majalala.
Mhhh
Dawa ya kiume ndo milioni400 kwa mtu mmoja?
Hapa rafiki yako alikuuza
Nashangaa, wakati ziko mpaka za jero
Duh!Inaonesha ni jinsi gani ulimvyo mtumiaji mzuri.Ndio maana una stress sana, pole laki si pesa!
Umeona eeh? Nilimuambia best ake amshauri huko kwenye mziki atafilisika tu hakunisikia.
Mhhhh, ngoja ninyamaze watu wasiunganishe dots hapa wakanijua bureee...lol
Nishakujua mieeee....!🙄🙄😀
Izo za kufulia nlizisikia mahali.Nasikia anombaomba hela kama Matonya.Si ajitengenezee dawa ya utajiri jamani
mbona mpaka mdakuzi anatumia, muulize vizuri ni mtumiaji mzuri tu wa hizo dawa
siyo huyu,yule ni chief kiumbeHuyu Ustadhi ndiye aliyemhonga diamond lanfcruiser VX baada ya kumla 0713?
Huyu Ustadhi ndiye aliyemhonga diamond lanfcruiser VX baada ya kumla 0713?
Huyu Ustadhi ndiye aliyemhonga diamond lanfcruiser VX baada ya kumla 0713?
Umeona eeh? Nilimuambia best ake amshauri huko kwenye mziki atafilisika tu hakunisikia.
Mhhhh, ngoja ninyamaze watu wasiunganishe dots hapa wakanijua bureee...lol
Umofia kwenu,
Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha.
Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.
Huyu Ustadhi ndiye aliyemhonga diamond lanfcruiser VX baada ya kumla 0713?
Mhhh
Dawa ya kiume ndo milioni400 kwa mtu mmoja?
Hapa rafiki yako alikuuza
siyo huyu,yule ni chief kiumbe
mkuu chief kiumbe ndo alimpa gari diamond,hizo zingine ni tetesi za watu kwamba chief huwa anawala wasanii 0716 halafu ndo anawazawadiaAlimla diamond 0716 au diamond ndo alie mla uyo chief.....