Ustadh Juma na Musoma Afulia

Ustadh Juma na Musoma Afulia

Mm nilikutana naye mwenge..nikaongea naye ile kutaka kunikopa 2..nikaona oooh huyu keshaanza tena
 
Unafikiri atakubali akihojiwa? Kama amezisikia ndio hivyo mtu wako majalala.

Hahahaaa kanatia huruma sana kale katoto, yan km ni kwel jamaa ss hv kafulia basi kiama kimesogezwa mpk milangoni mwetu, malipo hapahapa
 
Mhhhhh! Hizi habari nina shaka nazo!
 
Umeona eeh? Nilimuambia best ake amshauri huko kwenye mziki atafilisika tu hakunisikia.
Mhhhh, ngoja ninyamaze watu wasiunganishe dots hapa wakanijua bureee...lol

Nishakujua mieeee....!🙄🙄😀
Izo za kufulia nlizisikia mahali.Nasikia anombaomba hela kama Matonya.Si ajitengenezee dawa ya utajiri jamani
 
Nishakujua mieeee....!🙄🙄😀
Izo za kufulia nlizisikia mahali.Nasikia anombaomba hela kama Matonya.Si ajitengenezee dawa ya utajiri jamani

Hahahaaa,poleeee.
Mbona kaanza kufulia long time tu.Alichafua mjini balaa enzi zile.Akienda mahali msafara wa wapambe nyuma..looh!
 
Huyu Ustadhi ndiye aliyemhonga diamond lanfcruiser VX baada ya kumla 0713?
 
Umeona eeh? Nilimuambia best ake amshauri huko kwenye mziki atafilisika tu hakunisikia.
Mhhhh, ngoja ninyamaze watu wasiunganishe dots hapa wakanijua bureee...lol

yani ni shida tupu
akili nywele!
 
Umofia kwenu,

Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha.

Kweli wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.

Alikuwa maarufu mpaka watoto wakiulizwa SHEKH mkuu wa Tanzania anaitwa nani wanajibu Ustadhi Juma Namusoma hahaaa
 
Alimla diamond 0716 au diamond ndo alie mla uyo chief.....
mkuu chief kiumbe ndo alimpa gari diamond,hizo zingine ni tetesi za watu kwamba chief huwa anawala wasanii 0716 halafu ndo anawazawadia
 
Back
Top Bottom