herry msagati
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 293
- 199
Ngoja tukusahihishe wenye dini yetu huu ni mwezi Ramadhani ameenda kwa ajili ibada ya Ummra sio hija, hija bado mpaka mwezi huu uishe uje mwingine tena utakaofuata ndio Hijja.View attachment 515597 View attachment 515598
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.
Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.