Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

View attachment 515597 View attachment 515598
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.

Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.
Ngoja tukusahihishe wenye dini yetu huu ni mwezi Ramadhani ameenda kwa ajili ibada ya Ummra sio hija, hija bado mpaka mwezi huu uishe uje mwingine tena utakaofuata ndio Hijja.
 
Mbona mama yako ameshindwa kuwa gaidi? Mpuuzi mkubwa wewe, chuki imekujaa huna zaidi,
Jitahidi kudhibiti hasira zako mkuu hasa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ili kuipata ibada hii vema!
 
Kuna wakati juha lazima apewe jibu la kijuha kama yeye, wanakera sana hawa watu
 
View attachment 515597 View attachment 515598
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.

Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.

Naomba nikusahihishe sio hijjah hiyo anafanya umrah hija ni
Mwezi wa 10 mashaah allah alalh amajalie
 
Hahahaha hizi imani hazina tofauti na kuamini ushirikina, kuna Ostadh mmoja nilikuwa namsikia anahubiri ndani ya msikiti kuwa ni dhambi kubwa sana anayecheza na kushabikia mpira, pia na style aliyonyoa Pogba mchezaji hewa wa Man U

Mkuu,

Huyo "ustaadh" uliyemsikia ni mjinga tu kama walivyo wajinga wengine. Hajui lolote!!!

Kaka ...
 
View attachment 515597 View attachment 515598
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.

Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.
mkuu wonderful naomba nikurekebishe kidogo sio ibada ya Hijjah bali ameenda kwa ajili ya ibada ya Umrah..
 
Dhuuu hili kwelo garasa
Na,c wanasema wenywe
Kushabikia mpira na
Kucheza n dhambi au

magarasa magarasa tu
 
Back
Top Bottom