Angekuwa ameenda Bethlehem ungeharisha hayoHahahaha hizi imani hazina tofauti na kuamini ushirikina, kuna Ostadh mmoja nilikuwa namsikia anahubiri ndani ya msikiti kuwa ni dhambi kubwa sana anayecheza na kushabikia mpira, pia na style aliyonyoa Pogba mchezaji hewa wa Man U
Jina sio ishu.Paul kumbe ni jina la kiislam ayaa Ramadhan kareeem[emoji122]
Mkuu kwani kuna sehemu yoyote watu wamesema kinachofanana na maneno yako?kwa hiyo uislama ndio umemufanya awe anajua mpira au ni kuonesha kuwa mastaa wa soka nao huwa wanaenda mecca?
Kha! Ili iwe habari iweje?Sasa hii nayo ni Habari?!
sasa wewe ki pa pa ulitaka habari gani?Sasa hii nayo ni Habari?!
Ajabu watu wana chuki khaaMkuu kwani kuna sehemu yoyote watu wamesema kinachofanana na maneno yako?
wenzenu dini zilikotokea washastuka,makafiri mtabaki wenyewe na mazabahu yenu ya kuamshia dudee j2Mbona kasahau kuvaa zile hereni zake
Yaani acha tu lakini chuki yake ndo ukamilifu wa maandiko huuAjabu watu wana chuki khaa
MashaAllah...hapo ndio ujue watu wooote ni sawa.mali ni maua tu. Shuka hilo alilo vaa lina maana kubwa sana. Uwe tajiri uwe maskini vazi utakalo vaa ni hilo na hata ukifa unazikwa na hilo. ukiwa maka hakuna cha guci wala mk you name it. MashaAllahView attachment 515911
Mchezaji soka aliye ghali zaidi duniani amefanya ziara ya kihujaji kwenda katika mji mkatatifu zaidi wa Kiislamu, Mecca, wakati wa mwanzo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba alipakia mtandaoni picha yake akiwa Mecca siku ya Jumapili na kuandika "kitu cha kupendeza zaidi nilichowahi kukitazama maishani mwangu."
Aidha, aliandika ujumbe kwenye Twitter kutakia kila mtu "Ramadhani jema."
Pogba, 24, aliibuka mchezaji ghali zaidi katika historia majira ya joto mwaka jana, Manchester United walipowalipa Juventus ada ya £89m ($114m).
Jumatano, alifunga bao na kusaidia Manchester United kulaza Ajax 2-0 na kushinda kombe la ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League mjini Stockholm, Sweden na pia kuwezesha klabu hiyo kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao.
Baada ya kumalizika kwa msimu wa soka, Pogba alipakia mtandaoni video fupi yake na mkoba na kusema alikuwa "safarini" kwenda kufanya maombi yake.
Pogba anafanya Umrah, ambayo ni safari ya kihujaji ambayo si ya lazima katika dini ya Kiislamu.
Pogba amewahi kuzuru Mecca angalau mara moja awali, ambapo alifanya Haji, safari ya kihujaji ambayo kila Mwislamu aliyekomaa na mwenye afya anafaa kuifanya angalau mara moja maishani.
Mecca unaaminika kuwa mji alikozaliwa Nabii Muhammad, na watu wasio Waislamu hawaruhusiwi kuingia.
Kwa hisani ya BBC Swahili
Pale anapouweka utajiri wake pembeni na dinia inayopita.....kwa hiyo uislama ndio umemufanya awe anajua mpira au ni kuonesha kuwa mastaa wa soka nao huwa wanaenda mecca?
Hapana labda ingekeu habari ya maaskofu kuwalawiti vijana wenuSasa hii nayo ni Habari?!