Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
mchezaji hewa?!?![emoji23][emoji23] acha kuchekesha watuHahahaha hizi imani hazina tofauti na kuamini ushirikina, kuna Ostadh mmoja nilikuwa namsikia anahubiri ndani ya msikiti kuwa ni dhambi kubwa sana anayecheza na kushabikia mpira, pia na style aliyonyoa Pogba mchezaji hewa wa Man U
Askofu anahusika vipi na hii habari isiyokua na kichwa wala miguuHapana labda ingekeu habari ya maaskofu kuwalawiti vijana wenu
Na hili ndio lengo la mleta mada,kwamba mcheza soka ghali zaidi duniani yuko macca kuhij.wenzenu dini zilikotokea washastuka,makafiri mtabaki wenyewe na mazabahu yenu ya kuamshia dudee j2
Tunaliamsha dudeeeeee.nyie endeleeni kulishana matango poliwenzenu dini zilikotokea washastuka,makafiri mtabaki wenyewe na mazabahu yenu ya kuamshia dudee j2
Huyo si mzamiaji tu toka west Africa walikojazana magaidi wenzakowenzenu dini zilikotokea washastuka,makafiri mtabaki wenyewe na mazabahu yenu ya kuamshia dudee j2
...wanachunga wale jamaa wasijefanya yao humo, si unajua tena hawachagui mahala pa kulipua wale, si makanisa si misikitini, kwenye mikusanyiko yoyote ile mingine wao wakipata upenyo tu wanaharibu...Mbona kuna maaskari humo ndani?
Trump hakuwa maca na wala hata fika huko maca ni kwa waislam tu hata motoway yake imeandikwa for muslim only..kwahiyo jua hilo trump labda alikuwa jiddah au riadhKwani kwenda kutalii huko ni hadi uwe wa dini ya huko? Si Trump alikuwa huko juzi?
Sawa. Basi nitaendaTrump hakuwa maca na wala hata fika huko maca ni kwa waislam tu hata motoway yake imeandikwa for muslim only..kwahiyo jua hilo trump labda alikuwa jiddah au riadh
Kama una level za kina Pogba..Maana ni moja ya kuitangaza Dini..kama huna jina utachezea virungu hahaKumbe kuji selfisha mbele ya AL KAABA inaruhusiwa? Nilijua ni haramu